Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,913
- 7,833
Prof japo alijitoa uongozi bado ana nguvu na ushawishi kwa viongozi na wanachama wa CUF
Hata hivyo Lipumba anaonekana kuwa mpinzani tena hasimu si tu wa Lowassa bali CHADEMA kama chama.
Ni kivipi CHADEMA itashirikiana na cuf bila kudhurika na sumu ya prof?
Je CUF itaona bora kumkumbatia Lipumba na kuvuruga maĥusiano na cHADEMA?

Last edited by a moderator: