Kuna jamaa hapo kasema Steven ni Mpare!
Jamaa sio Mpare ni Mchaga! Baba yake marehem mzee Mberesero alifanya kuhamia Pale Kisangara Na Kuanzisha Mashamba Kisangara, Kiruru Na Kileo kabla ya kuruka Daraja la Kileo ukiwa unatoka MOSHI! Wanamiliki shamba Kubwa pale upande WA Kushoto! Kwa kifupi...
Sometimes I fail to understand people here! Why kila ck ni Wanawake tu mnawazungumzia? Mbona wako wanaume Kibao wenye same tabia km hizo???! Lkn sion Wanawake wakija Kwa hii jukwaa nakuwadis!
Ifike wakat tuwaheshimu Wanawake! Kwan hata ukukuta mwanamke anajiuza mnunuz wake ni Nani ??? Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.