Recent content by NabiiMweusi19

  1. NabiiMweusi19

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Try reading the Rogue Lawyer, John Grisham never ceases to amaze me
  2. NabiiMweusi19

    Mwezi wa Aprili unaaanza kesho. Je, umeshasoma vitabu vingapi mwenzangu?

    Hongera sana kwakweli, binafsi bado ananidai kuna vitabu vyake vingi sijavipitia. Hivyo basi huwa najitahidi isipite walau miezi miwili bila kusoma kitabu cha Chase
  3. NabiiMweusi19

    Mwezi wa Aprili unaaanza kesho. Je, umeshasoma vitabu vingapi mwenzangu?

    Huyo Chase anabalaa sana, one of the best writers.. Pengine ungesoma na hivi A can of Worms, An Ear to the Ground, The Sucker Punch. Kama bado hujavisoma embu pitia humo ujionee
  4. NabiiMweusi19

    Kangi Lugola: Watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi ni Mitego ya kifo. Kwani wanaokufa wakifanya mapenzi mnachoma Kitanda?

    Ignorance allied with power is the most ferocious enemy justice can have
  5. NabiiMweusi19

    Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Pengine unachosema ni kweli. ila je utaithibitishiaje Mahakama kuwa ugonjwa ndio uliosababisha kifo siku hiyo ya tukio?
  6. NabiiMweusi19

    Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

    Mkuu naomba site ya hiyo library
  7. NabiiMweusi19

    Edward Lowassa atakiwa kuripoti haraka sana kwa DCI

    Hii Nchi haitakaa iishe vioja vya kila kukicha. Huwa najiuliza ni nani mwandishi wa hizi scripts zote zinazoendelea
  8. NabiiMweusi19

    Sakata la Coco Beach: Manji asitisha mpango wa kuchukua ufukwe wa Coco Beach kwa lengo la kuwekeza

    Chanzo kilichomkasirisha Bwana yule ni Yusuf kujiunga na upinzani
  9. NabiiMweusi19

    Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    An eye for an eye will make the whole world blind
Back
Top Bottom