Recent content by NABII MTARAJIWA

  1. N

    Tukio la kupatwa kwa mwezi ni miongoni mwa dalili za kutokea kwa Mungu kufikia mwisho wa dunia

    Matukio ya kupatwa kwa Jua na Mwezi ni ya tangu zamani na ni matukio ya kisayansi. Pia haiwezekani Jua na Mwezi kupatwa kwa wakati mmoja. Hivyo ishara ya kurejea kwa Yesu duniani ni Jua, Mwezi, Nyota zote kutiwa giza kwa wakati mmoja. Na lengo ninkuhakikisha kuwa Yesu Kristo ambaye ni Jua la...
  2. N

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mimi niko gizani sijaelewa. Mbona sasa bado tunapata huu mtandao? Kilichofanyika ni nini?
  3. N

    GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

    Watafoji takwimu kama kawaida yao. Lakini safari hii mambo sio ya kawaida. Something might happen!
  4. N

    Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

    Kiukweli Magufuli alipaswa kuwa Waziri Mkuu. Maana yeye aliweza kusimamia mambo. Lakini hakuwa na vision. Ndio maana alikuwa anafanya kila kitu.
  5. N

    Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

    Billa Yesu ndugu yangu wewe ni wa kuzimu tu. Babu zetu wote hadi Ulaya walikuwa wakiabudu mizimu ambayo hutoka kuzimu. Hivyo, wakifa wanaenda kuzimu kujiunga na mizimu.
  6. N

    Hizi ndizo silaha hatari ambazo Mchina kazionyesha kwenye gwaride lake! Wachambuzi mpo!

    Watu wanawaza tu vita badala ya kusaidia watu wenye shida. Wasubiri Kanisa linyakuliwe. Maana wataona moto wa vita.
  7. N

    Huyu mgombea amesema atanunua trekta milioni 10, huu ni uongo wa kutisha

    Inawezekana ulimi umeteleza. Hata hivyo hahitaji kutoa maelezo yoote na kujaribu kuomba kura kwa watu wasiomtaka. Ni bora hata angejiongezea muda kwa kisingizio cha katiba mpya. Aandike Katiba miaka 03 aondoke kwa heshima. Lakini watu wasiokutaka utawaongozaje?
  8. N

    Adui wetu mkubwa ni mwenge wa uhuru, kuna mavumba huwa yanafukizwa kutupumbaza watanzania

    Ni kweli na ajabu hakuna mtumishi yeyote wa Mungu anakemea hili. Wale wanaoomba tuendelee kuiombee hiyo kitu
  9. N

    YEMEN; Wahouth leo wanazika mawaziri waliouawa katika shambulio la Israel

    Wengi hawaelewi bado kuwa huwezi kushindana na Israel ukashinda. Na kuanzia sasa Israel ndiyo itatawala vyombo vya habari duniani maana tupo siku za mwisho. Kumbuka tu kuwa Biblia imetabiri kuwa siku za mwisho Israel itarejea jwenye ardhi yake na hakuna mtu ataweza kuwaondoa tena. Hata dunia...
  10. N

    Nimeona gorikipa Goalkeeper Yakoub Suleiman akienda simba imenipa mwaswali magumu sana

    Sio wachezaji tu bali watanzania kwa ujumla wana ushamba wa kutoka nje ya nchi. Sijui wanaogipa nini.
  11. N

    Muachieni Lissu, sasa inatosha!

    Hao hawajui alama za nyakati. Kila mtu anayemdhulumu Tundu Lisu atapatikana na matatizo makubwa. Muda utasema!
Back
Top Bottom