Recent content by NABII ELIAH

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nilifanya mtihani mara mbili form six, nifanyeje kuaply mikopo elimu ya juu?

    Kumbe ninunavyo jua wee, nikajua ndivyo ilivyo
  2. N

    JamiiForums Tanzania KUEDIT TAARIFA HESLB

    Habari Wanazengo Kama unapojisajili uliweka umezaliwa oversea badala ya mainland Tanzania inakuwaje hapo? Maana hata verification number ya rita hawakuleta tunafanyaje ili kuedit
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nilifanya mtihani mara mbili form six, nifanyeje kuaply mikopo elimu ya juu?

    Nimeweka form six then wananiletea kipengele kimoja tu cha kuweka index number ya form six. Nielekeze basi mkuu sory
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nilifanya mtihani mara mbili form six, nifanyeje kuaply mikopo elimu ya juu?

    Kwa upande wa form 4 wanauliza number of seats ila form six sijaon hicho wanauliza tu kama ni diploma au form six then index number au ni sehemu gani kipo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nilifanya mtihani mara mbili form six, nifanyeje kuaply mikopo elimu ya juu?

    Ipo upande gani maana huku tunaona form four ndio ku a sehemu ya kujaza index number zaidi ya moja ila form six hakuna
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nilifanya mtihani mara mbili form six, nifanyeje kuaply mikopo elimu ya juu?

    Wakuu poleni na majukumu, hivi kama ulifanya mitihani ya advance mara mbili mara ya kwanza ulipata D moja na mara ya lili ukapata D ya pili chuo ume combine matokeo sasa upande wa kuapply mikopo hatuioni sehemu ya kujaza index number za form six kwa waliokaa zaidi ya mara moja inakuwaje hapo au...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kozi ya uandishi wa habari

    Wakuu kutokana na kichwa cha habari hapo juu mm ni kijana wa miaka 25 napang kwenda chuo mwaka huu napenda sana kuwa mwandishi wa habari lakini naona wadau wananiambia eti hii kozi mkopo ni changmoto na mm tegemeo langu ni mkopo naombeni ushauri jamani mana nachoka
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Hilo ni jini
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nimevutiwa mno na Jiji la Mwanza

    Da pole Kaka na mm ishanikuta hiyo hali kwahiyo now upo wapi maana mm na wish one day nifike Mwanza
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wataalamu wa mitihani ya PC (Private candidates)

    Ukifata vigezo unakubaliwa tu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kwakweli
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga Sc kuachana na Kocha Mkuu Nabi

    Du
Back
Top Bottom