Barua ya wazi Kutoka Kwa Suleiman Said Bungara ( Bwege) Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kwenda kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan
barua
barua ya wazi
jamhuri
jamhuri ya muungano
kutoka
kwenda
muungano
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suleiman
suluhu
tanzania
wazi
Natafakari tu;
Viongozi wa ACT Wazalendo wangekimbia nchi baada ya uchaguzi!
Viongozi wa ACT Wazalendo wangerudishwa nchini kwa Msaada wa Ikulu (kufuta Kesi).
Viongozi wa ACT Wazalendo wangelipwa mishahara yao na marupurupu (Tundu lissu).
Zitto angeachiwa huru na siku hiyo hiyo kuonekana Ikulu...
Na Kwako ww , Unasumbuliwa zaidi na huyo mwenye chama kuliko Watu wa aina ya Jaji Biswalo. Yaan huyo mwenye chama kasababisha Unga, mchele, Nauli na mafuta vipande kwahiyo anakukwaza sana.
Vijana wa Chadema mnashida sana
Huyu Mbowe alipoona moto mkali alikimbia Nchi, Dubai na South Africa kutafuta Fursa za Biashara na kuacha Siasa, ameona kumepoa amekuja tena kuwekeza Kwenye Chama.
Kibwagizo cha Hotuba Ya Mbowe "NEVER AND NEVER AGAIN" ame Copy kutoka Katika Hotuba ya ZITTO aliyoitoa Tarehe 26/3/2021( Hii HAIPASWI KURUDIA TENA TANZANIA)
Kwa Heri John Magufuli, Buriani Tingatinga
Zitto Kabwe
Imenichukua karibu wiki nzima kuandika, japo kidogo, kukuaga Rais Magufuli...
Hotuba ya Mbowe yote inamambo Matatu.
✓Kuomba Huruma yake Binafsi na chama chake .
✓ Malalamiko
✓ kuelezea Hofu waliyonayo kwa Mh Samia.
✓ na Zaidi Amecopy mambo kadhaa kutoka kwa Hotuba za Zitto ikiwemo Kibwagizo chake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CUF inavunja ngome ya ACT WAZALENDO ZNZ ? kwa Maana hiyo ile CUF tuliokuwa tunaijua haipo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Faki yule kilaza ndio amekuwa Naibu Katibu Mkuu Znz? Haya
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.