Recent content by Mzururaji

 1. Mzururaji

  RC Kunenge: Mimi sipimwi kwa wingi wa watu na utaratibu huo siuhitaji

  Askari polisi na mwanajeshi hawalipi ila mwanafunzi analipa we jamaa bure kabisa, chuki zako kwa Makonda hazina msingi
 2. Mzururaji

  Arusha city Geneva ya Afrika imegeuka Mogashu ya Tanzania !

  Msee wakati tunawambia muache maandamano ya kijinga jinga na kujitapa kuwa arusha haito tawalika tuliwaonya lakini mkatuonya washamba sasa hivi mnalia lia
 3. Mzururaji

  Kariakoo siyo waaminifu kwenye biashara ya simu

  Mkuu na Mimi muhanga hapa asee nimenunua chaja kwenye vile viduka vinatazamana na mataa pale asee nafika buza chaji haifanyi kazi
 4. Mzururaji

  Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

  Tuache unafk bwana nani hamjui mondi mimi sio shabiki wake ila all most watu wote ukitoa wale was vijijin sana wanamjua
 5. Mzururaji

  Swali fikirishi: Kwanini Watanganyika wanaumia sana Wazanzibar wanapoungana?

  Usichanganye mambo asee kuna chadema na watanzania machadema yote ndio hayataki huo muungano rejea alicho kisema mgombea wao was urais ila sisi watanzania tunawatakia maisha mema kwenye SUK yenu.
 6. Mzururaji

  Mkakati wa CHADEMA Kugomea Viti Maalumu ni 'Political Maneuver' isiyokuwa na tija yoyote

  Kama ndivyo aida kihongosi anafanya nini bungeni kwa nini asifutiwe uwanachama
 7. Mzururaji

  Mtanzania ateuliwa kuiongoza Mamlaka ya Mapato ya Sudan Kusini (NRA)

  Jinga sana tunapiga kelele sababu hao wataalamu tunao. Na nikwambie tu Mimi ntaongoza makelele kama wakiajili MTU ambae sifa zake tunazo.
 8. Mzururaji

  Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

  Maswali ya kitoto yakiulizwa na mtoto tunasema muulizaji ana akili ya kitoto ila swali la kiutu uzima likiulizwa na mtoto tunasema mtoto anakuwa Ina maana hujui wakati unabadilika mwisho n mbinu hubadilika pia
 9. Mzururaji

  'Injinia' Hersi Said wa Yanga SC na GSM yako ni lini utaacha 'Uwongo' wako na kupenda 'Kuwadanganya' mno wana Yanga?

  Gahrib yeye amemtuma Engineer kwenda Wasafi FM kuongea. Bakhresa alimtuma Popat kwenda Clouds kuongea. Mwamedi yeye alichukua kikundi cha uchambaji kikiongozwa na manara akabeba matarumbeta na wasanii akaenda nao Wasafi FM wakacheza vidole juu😂🤣
 10. Mzururaji

  Uchaguzi 2020 Lissu atarudisha fomu na kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais, hakuna wa kumzuia

  Kweli bangusilo sasa unataka tushindane kutukana wazazi bwana bangusilo?
Top Bottom