Habari! karibu sana
nafanya huduma ya printing kwa ubora wa hali ya juu kama nimezaliwa nayo.
Tunaprint vikombe, chupa, t-shirt aina zote zikiwemo jersey.
uniform za wanafunzi.
mifuko ya kufungia bidhaa kwaajili ya kutangaza biashara zako.
karibu sana sana tukuhudumie.
Tunapatikana...
Nina wazo la kufungua kampuni ambayo itakuwa inajihusisha na printing,
Kwa sasa nafanya huduma ya printing napatikana dar es salaam.kwa kwa kuprint vikombe, chupa t-shirt mifuko ya kufungua bidhaa n. k
natamani nipate sapoti yenu nyinyi ili muniwezeshe kijana wenu kufanikiwa kufungua kampuni...
Habari zenu me nikijana mwenzeni nina umri wa miaka 25 nimetaja miaka ili mtu anaponishauri haitompa ugumu katika kutoa ushauri.
Nina hali ambayo inanisumbua kwa upande wangu ni jambo kubwa na nahitaji ushauri.
Binafsi ninaye mpenzi wangu tayari ambaye kwasasa ni mchumba wangu sababu pande...
Nina tatizo kubwa binafsi kwangu naona kama ni tatizo kubwa kwa sababu sikuwaga hivi.
Kwasasa nina hali ya kutamani kila mwanamke, huenda mwingine akasema hiyo ndio sifa ya mwanaume kamili lakini naweza sema katika sifa hiyo uwaga inamipaka yake, si kila mwanamke na si kika wakati.
Mwingine...
Makazi Dar Es Salaam
Miaka 26
Jinsia Me.
Dini Muislamu
Awe
Dini: Muislam
Miaka 20-23
Makazi Dar Es Salaam
Kama atapatikana anicheki whatsapp 0743366810 kama anataka tufahamiane zaidi.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.