Recent content by mzurisana

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mafia

    ss me jibu la ukwel nitalitoa wap labda kwa mfano
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mafia

    mh haya!!! mbona nitajuta kupost swali langu huku:shut-mouth:
  3. M

    JamiiForums Tanzania Group interview access bank

    mie pia nahic tulikuwa wote , ila me niliishia group interview hawakuniita tena for individual interview, vp tena ukaacha?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mafia

    nauliza kwa ambao washawahi kwenda mafia mnapita wapi kwenda kwa boti? kwa kutokea dar mnapandia wapi boti na nauli zikoje? na usalama? nataka niende kutafuta opportunity za biashara huko
  5. M

    JamiiForums Tanzania Group interview access bank

    group interview ya access bank huwa wanatoa debate topic then mnaambiwa mgawane opposers na proposers then mnapewa dakika tano za kujiandaa afu debate inaanza , ikiisha hy ya debate wanaanza kukuuliza mmoja mmoja maswali ya kawaida ya interview unayoyajua tofauti ni kwamba tuu pale mnaaulizwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PWC _INAWAHUSU (Recruitment Process)

    Me nahic ww una matatzo tuu mengne maana ushaelekezwa vya kutosha bado huelewi badala yake unadhani unabaniwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania PWC _INAWAHUSU (Recruitment Process)

    Kwny web yao sehem ya kuapply umefungua ? Mbona hy sehem ndo inasehem ya kujiregister
  8. M

    JamiiForums Tanzania PWC _INAWAHUSU (Recruitment Process)

  9. M

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha HIV

    vinauzwa pharmacy nna rafiki yng alikuwa internship yy alikuwa navyo vingi vingi anawapa watu wajipime me nilikataa mwenzangu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Agency number ya Tanzania for chinese goverment for undergraduate

    8341 - Embassy of P.R. China in Tanzania ila ukitumia agency # ya embassy ya china in tz inamaana hizo application zako utapeleka hapo na ukienda huko ubaalozini utaambiwa wizara ya elimu ndo inayoshughulikia hizi scholarship kwa tz so me nnachokushauri apply juu kwa juu yan kwa chuo hucka ili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PWC _INAWAHUSU (Recruitment Process)

    inamaana ww ht kugoogle ulishindwa? maana me baada ya kuona hii post yako simply nikagoogle PwC Tanzania nikapata web yao nimeifungua na hiyo post ipo na sehem ya online application inaonekana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 30m

    Umeona eeh ? Kila kitu hapa hapa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 30m

    Mwanamke
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 30m

    ushauri mzuri nimeupenda
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 30m

    Ushauri mzuri ila kusubiri miez sita ni mingi sn
Back
Top Bottom