Naomba msaada wa Agency number ya Tanzania for chinese goverment for undergraduate

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
537
250
Heshima kwenu wakuu Katika pita pita zangu internet nimekutana na page ya chinese goverment sponsorship for internatinal students na nlikuwa nataka kuapply lakini katika process ya application wakaniuliza my agency number kwa Tanzania

ila sikuwa nayo na kuipata nadhani ni mpaka niende kwenye embassy yao huku Tanzania; Mimi nipo mikoani huku siwezi kuja hadi huko for the mean time kwa hiyo nlikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu hii agency number

naomba anisaidie na pia kama unajua kuhusu process kamili za application ya hii sponsorship naomba mnijuilishe pia, Thanx in advance Link ni hii hapa http://laihua.csc.edu.cn/inscholarship/jsp/student/ StudentLogin.jsp
 

Brodre

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,267
2,000
8341 haya hiyo apo ukipata scholarship uwe unanitumia hata simu au saa za kichina ambao ni original
 

mzurisana

Senior Member
Jun 23, 2011
133
0
8341 - Embassy of P.R. China in Tanzania ila ukitumia agency # ya embassy ya china in tz inamaana hizo application zako utapeleka hapo na ukienda huko ubaalozini utaambiwa wizara ya elimu ndo inayoshughulikia hizi scholarship kwa tz

so me nnachokushauri apply juu kwa juu yan kwa chuo hucka ili upate toka quota walizonazo wao coz ukienda wizarani magumashi km kawa
 

Sonnet

Senior Member
Oct 22, 2013
171
225


Unaweza kuapply moja kwa moja kwenye chuo husika china ukaweka Agency number ya chuo au ukaapply kupitia wizara ya elimu au ubalozi wa china hapa Tanzania. Ukituma applications ubalozini weka Tanzanian Agency number ambayo ni 8341
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom