Recent content by Mzungu_bahili

  1. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania Whatsapp yangu imefungwa naomba msaada

    Kama ni ya meta nitaijarbu mkuu naskia ina features nyingi Sana.
  2. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania Whatsapp yangu imefungwa naomba msaada

    [emoji28]iyoo Aero sijawah itumia mkuu. Wahuni ao
  3. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania Whatsapp yangu imefungwa naomba msaada

    GB, FM na izo WhatsApp nyingine tofauti na official WhatsApp na WhatsApp business ni illegal coz sio apps za kampuni ya meta. So ukizitumia sometimes wanakufungia ili utumie WhatsApp ambayo ukiifungua inaonyesha nembo(logo) ya meta. So futa izo JB, FM na izo application nyingine za WhatsApp...
  4. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Exactly Agresive [emoji28]
  5. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    Nimesoma huu Uzi mbele ya watu wazee adi wameshtuka Sana. #Tunaangamia. Alaf unakuta wew n mama wa watu unamuhudumia mumeo vizur tu, sema ndo kuchangamshana tu huku JF
  6. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka, mpaka kesho jioni kama hajajishusha Nampa nauli aendekwao

    Mkuu nimekuelewa sema Nini. Embu siku nyingine ukirudi mletee vizawad vidogo vidogo uone Kama kesho yake hatakukimbilia na kukupokea kwa Bashasha. Alaf pia game inabd umuandae kwanza kabla ata hujafika om ili nayeye ajiandae kisaikolojia, kimwili na kimazingira pia. Kifupi: Wengi tunasahau kua...
  7. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Mzungu_bahili Nilisoma uzi wa Mzungu pori uku nikapata idea ya ID mpya, Ila nikakuta Kuna mtu anajiita Mzungu Pori so nikaamua nijiite ivyo coz mm ni mbahili.
  8. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania Nimefumwa porini na brother nikimla mke wake

    Polee ndugu, Ndo wewe ulipigwa na kutembezwa kijijini kwetu kwa mtokole, Nilitaman nikupige jiwe sema ulikua unatia huruma.
  9. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania Ulimgharamikia kiasi gani mke wako mpaka kumpata?

    [emoji28][emoji28]
  10. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania Ulimgharamikia kiasi gani mke wako mpaka kumpata?

    Sisi ambao hatujaoa tunabaki dilema. Ila inavyoonekana kizazi Cha Mahari kinaenda kupotea, mm Mzungu_bahili Nitasubir mpaka mahari iwe bure.
  11. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Az wea (as you where) Afande. Ulinzi uimarishwe mpaka mitaa ya JamiiForum Usiku wa manane, maana huu mtaa wote wamelala
  12. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Ukikamata vibaka apo, nguvu kazi ipo mkuu. Tuko Doria wakuu.
  13. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Team ya mtu 2 Lindoni.
  14. Mzungu_bahili

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Kweli mkuu. Sema Apo mliman city naskia wa2 hawalalagi Kama JamiiForum usiku wa manane
Back
Top Bottom