Mungu (nguvu kuu) kila jamii ilikuwa na namna yake yakumfikia mungu (nguvu kuu) katika dunia nzima, kwetu afrika tulikuwa na njia zetu za kumfikia mungu na kutusaidia
Mizimu ni watu wema au mababu zetu waliokufa lakini katika uhai wao walikuwa watu wema walikuwa machifu,waaguzi,walinzi wa...
Vita yao ww inakuhusu nn sasa?? Ww mtu wa Ukraine?? Au mtu wa urusi??
Unashindwa sikitika na vita vya kongo afrika ya kati na sudani unaleta shobo kwa Ukraine na urusi
.nipe ushahidi wa kihistoria mkuu
Maana misri kwenyewe hakuna ushahidi huo kwamba waliwafanya watumwa wayahudi
Ila ni kwamba enzi za utawala wa khemet/ misri eneo lote la israeri mpka jordani ilikuwaa ni sehemu ya misri
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.