Recent content by Mzoamaganda

  1. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Nafikiri tumechoka na huku kukamatana kamatana kwa ovyo. Hoja ipingwe kwa hoja. Hapo ndio tutajenga demokrasia ya kweli. Wao watawala wanakamatwa na nani pale wanapokosea na kupotosha makusudi?
  2. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuitisha kura ya maoni

    Mmh, mi nafikiri ni mapema mno!
  3. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ningeamua ningeamuru Bulaya na Halima wakamatwe huko Moshi waletwe hapa kwa usafiri wowote

    Angefanya hivyo kwa faida ya Nani? Nafikiri tujifunze kukubali kupingwa.
  4. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Nape: CCM ikiendelea hivi wananchi hawatairudisha madarakani

    kweli kabisa!
  5. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Lowassa amkwamisha Makongoro Nyerere

    Atateuliwa na Rais
  6. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji Kodi: TRA wawashusha Serengeti Boys njiani walipokuwa wakielekea kwa Makamu wa Rais

    Dawa ya deni.......................
  7. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

    Mmmh labda mkondo wa maslahi haujakufikia. Mbaya kwa mwenzako; kwako ni bahati! Mara nyingi tuyasemayo hatuyatendi!
  8. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Serikali imenidharirisha sana, Mbona Dkt. Kitila yuko huru?

    Ha ha ha ha ha! Kuwa mwangalifu, usije ukapotezwa kabisa. Ha Ha Ha Ha
  9. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Kujua Kingereza haina maana kwamba umeelimika! Hivi ni vitu viwili tofauti.
  10. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Hii kauli wadau mmeichukuliaje?

    Iko poa tu. ndio mwenye kila kitu. Hata baadhi ya mawaziri amewapa yeye ubunge. Hata pushup alipiga yeye.
  11. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Hivi mi hata sielewi, Mtauziana tena au mtatuuzia??

    He was not serious
  12. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma: Matumizi mabaya ya madaraka ya Mrisho Gambo, Arusha

    Mtoto wa kiume hupenda kufanana na baba yake. Mtoto wa kike nae hupenda kufanana na mama yake. Tatizo ni nini?
  13. Mzoamaganda

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa bandari: Hali ya bandari ni nzuri sana na mizigo ni mingi

    Tabu kweli kweli
Back
Top Bottom