Recent content by mzl

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wazee toeni somo vizuri bas kuhusu hii chia seeds na wengi tunaweza kuwa interested na kufanya hii biashara
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TANAPA: Vijana wenye sifa jaribuni bahati

    No hakuna uhuni kila kitu kiko clear kabisa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara za Online Zimejaa Matapeli

    mie nimepitia article kadhaa kuhusu hawa aim global in motion,inaonekana kwamba sio scam.....but tatizo ni kwamba zile ahadi wanazopewa wenzetu kwamba ukijoin kwa 500,000 unaanza kutengeneza 69,000 daily ni uongo mtupu.....na hii kampuni ina spread mostly in developing nations ili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara za Online Zimejaa Matapeli

    Kuna hawa wanajiita aim global in motion,wenyewe wako vipi wakuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hiyo pHD uliichukulia wapi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Utashangaa Leo ac Milan anakosesha watu hela na odd yake ya 1.07
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona inazingua
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Acha kutakana watu wewe, kazi ya shetani tumeua au
  9. M

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mechi yetu na Napoli it will be a war,iwe kwa kumwaga damu,iwe kwa njia halali,au kwa goli la mkono Liverpool lazima tuingie hatua inayofuata kwenye champions league,hao Napoli level yao ni europa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    oooh sikuwa na hizo updates rafiki yangu,so ngoma droo hiyo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    yes yawezekana ila spurs wako onfire sana saiv
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

    Asante kaka nilitaka kujua tu hilo
  13. M

    JamiiForums Tanzania TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

    Na hizi kazi zs juzi juzi vipi ambazo deadline of application ilikuwa 26/11/2018?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TANAPA: Vijana wenye sifa jaribuni bahati

    tusikilizie by mwezi wa kumi na mbili mambo yatakuwa moto I think
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TANAPA: Vijana wenye sifa jaribuni bahati

    Jaman deadline ilikuwa juzi tu alafu unataka Leo wawe wametoa majibu
Back
Top Bottom