Recent content by mzizi mlaini

  1. mzizi mlaini

    JamiiForums Tanzania msaada, nitumie nini sauti irudi katika hali ya kawaida

    Pole Sana mkuu ngoja waje doctors watakusaidia
  2. mzizi mlaini

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiye na pesa ana heshima kuliko mwenye nazo

    Ipo hivo, ila muda mwingine mwanamke kuenda naye sawa inatakiwa utumie akili.
  3. mzizi mlaini

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupunguza na kuujenga mwili ili uwe na muonekano mzuri

    #1 1. Mchanganyiko wa maji, matango, ndimu au malimao (unaweza kutumia chochote kati ya hivyo), mdalasini, tangawizi, majani ya mint na ukipenda asali. Kazi: Unasaidia kupunguza uzito sana. Ni njia nzuri ya kupunguza sumu mwilini (kufanya detox). TUMIA MUDA WOWOTE. Uaandaaji: - Maji lita 2 -...
  4. mzizi mlaini

    JamiiForums Tanzania China, masharti nafuu barani Africa

    Kwakweli haupo vizuri katika upangiliaj, hata hivyo sijakuelewa.
  5. mzizi mlaini

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupunguza na kuujenga mwili ili uwe na muonekano mzuri

    Au Au unataka ushaur wa vyakula vya kujenga au kupunguza uzito wa mwili?????
  6. mzizi mlaini

    JamiiForums Tanzania Nyanya tajiri maarufu Kibondo amekamatwa na watu wasiojulikana

    Uzi uliotuletea unatupa shida kuuelewa
  7. mzizi mlaini

    JamiiForums Tanzania Njooni tuongeze idadi ya mapacha Tanzania

    😂😂😂😂😂
  8. mzizi mlaini

    JamiiForums Tanzania Nina mihogo tangu mwaka jana nimekosa soko, nawaza nisage kuwa unga ndio niuze

    Hujatafuta soko seriously broo.soko lipo
  9. mzizi mlaini

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo jua litazima/ litapotea?

    Jua ni muhimu kati ya nishat zote duniani
Back
Top Bottom