Recent content by MZIMU

  1. MZIMU

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Kwa Nape nimeelewa. Vip Kwa Januari? Sijaelewa kinachoendelea?
  2. MZIMU

    JamiiForums Tanzania Hakuna kosa wala dhambi kumkumbuka Magufuli, aliiweza nchi, kwa sasa kuwa na uhakika wa mambo ya kesho, haijulikani

    Katika Historia kila mtu anayo nafasi ya kukumbukwa kawa mema au m,abaya alioyafanya. Kwangu mimi hakua kiongozi Bora kwa watanzania wenye kujielewa na ambao walikua wanataka kusonga mbele kutoka pale tulipo kuwepo kabla ya yeye. Nchi haindeshwi kwa vitisho bali utawala wa Sheria.
  3. MZIMU

    JamiiForums Tanzania ‪CHADEMA: Kamati Kuu ya Chama ilirekebisha Ratiba ya Uchaguzi, utakamilika mwezi Disemba 2019 kwa ngazi ya Taifa‬

    Tufanyeni kazi zetu kwa lengo la kuikomboa nchi yetu katika vita ya Umasikini, Maradhi na Rushwa. Utawala bora ni wa uwajibikaji kwa wananchi. Tumbuke kua kuna vizazi vinavyokuja, tuwaachie nchi yenye neema kama walivyo fanya wenzetu wa nchi zilizo endelea na zinazo endelea. Lets be professionals.
  4. MZIMU

    JamiiForums Tanzania Mama Tibaijuka kurudisha shilingi bilioni 1.6 za mgawo wa Escrow aliopewa na Rugemalira

    Mazinga ombwe yanaendelea.
  5. MZIMU

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ndani ya Chama: CHADEMA walimwa barua na Msajili wa Vyama vya Siasa. Watakiwa kufuata sheria za nchi

    Ninavyo jua mimi, Hila za aina zozote katika jamii zote duniani huangamiza jamii au huziridusha nyuma sana katika maendeleo.
  6. MZIMU

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Vita ya Rushwa haiwagusi/inawakwepa viongozi wa Serikali

    Nimependa sana style yake ya uwasilishaji hoja yake. Kama anasifia vile 😁
  7. MZIMU

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Rais wa Jamhuri ana mamlaka ya kuwaagiza mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi (Zanzibar)

    Hahahahahahahha! Wameanza tena!
  8. MZIMU

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    “Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.” & "hate begets hate"
  9. MZIMU

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

    Eeebana ehhh! Hii ni kutafuta kick au nini?
  10. MZIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila msichana ninaemtongoza ananiomba hela, whats this?

    Mimi hapa sina kibamia. Nina litango la porini. Lakini pale ninapo onyesha kufa sana mwishowe napigwa hela. Siku hizi ni HIT $ RUN.
  11. MZIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila msichana ninaemtongoza ananiomba hela, whats this?

    Mimi nadhani suala hili ni mtambuka. Unaweza kua na tango pori lakini bado pia ukapigwa hela. Kuna sababu nyingi. Kubwa zaidi ni jinsi utakavyo anza kumtongoza. Ukiingia na gea ya Maprosoo umekwisha. You have to live your promise.
  12. MZIMU

    JamiiForums Tanzania Polisi yamwachia Dk. Shika baada ya kujidhamini mwenyewe

    Hahahahahhahahahahahhhahahaha . Dr Shika man of the Year
  13. MZIMU

    JamiiForums Tanzania Dr. Louis Shika asisitiza nia ya kuzinunua nyumba za Lugumi, atoa ujumbe mzito kwa TRA na Yono wasimbeze

    Heshima kwako Dr. Shika. Huu ni ujasiri wa kuigwa.
  14. MZIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni tabia ya kusema tunatoa harufu sehemu za siri, baadhi yenu mna shahawa zenye harufu kali

    Dada Demis Mada yako ni nzuri sana. Siwezi kukataa moja kwa moja utetezi wako. Ila katika hali ya kawaida baadhi ya vitu vinavyosababisha harufu sehemu za siri hasa za wanawake ni vifuatavyo. 1. Fungus katika sehemu za siri za Wanaume. 2. Matumizi ya kondomu kwa wingi 3. Kufanya Mapenzi na...
Back
Top Bottom