Recent content by Mzimu wa Kolelo

  1. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mgina: Wanaume wanakufa mapema sababu ya majukumu, kama hutaki kuwa mjane msaidie mumeo. Je ana hoja?

    Wanawakake hawana hata haja ya kusaidia kuleta pesa MKE anatakiwa kubeba ile role ya mke kutambua majukumu yake kwa mumewe na familia kwa ujumla kumbuka Mwanaume anachotaka kwa mwanamke ni mambo machache ambayo ni kama KUMTOMBA KUMZALIA mtoto/watoto na kuwa msaidizi wa mambo mawili matatu ya...
  2. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kwa nafsi zetu. Ni nani mwingine CCM zaidi ya Dkt. Nchimbi anayeweza kusema jambo na WaTanzania wakamsikiliza

    huyo TIBAIJUKA mtoe hana hiyo hadhi ni kwa7bu hayupo kwenye mfumo alitaka kuendelea kuwepo sana ni vile tu kuna mambo yalikuwa si mambo ikabidi akae pembeni
  3. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

    kama afya mgogolo na wewe umekulia DSM sikushauri uende kipindi huki kama mm kipindi hiki utakufa !! hiyo njombe kuna mwaka nilienda ilikuwa mwenzi wa sita katikati ilibidi nikae wiki ila docta akarecomand nirudishwe kwetu DSM mana sio tu kuwa nilokuwa natia huruma ila hata wenyeji wenyewe...
  4. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Simba waliokula watu katika bonde la Rufiji

    hadithi nzuri
  5. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Usingle na kataa ndoa ni maalumu kwa watu wa miji yenye machangudoa wengi

    wewe sio mlevi ndio mana unalopoka hiyo HUDUMA ukiitaka ukifika ugenini kwanza weka ukaribu na walevi kisha piga story sana boda boda wa kitaani mpe tip zile kubwakubwa utanishukuru sana
  6. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Marekani yamaliza 65% ya makombora kwenye vita ya Iran

    Umeambiwa makombora ya ulinzi loh !! kuna wakati inahitajika kusoma na kuelewa kinachoandikwa kuliko kuleta ushabiki na kitu ambacho tuseme tu mnakuwa hamna ufahamu nacho sasa km ikiwa hvyo kwann isiwe inabaki tu kusoma na kuongeza ufahamu au hata kuuliza inakuwa inaongeza upeo wa kuelewa...
  7. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyowahi maishani

    duh ! sio poa kuna familia zingine ndo umeingia kuoa mbna utaijua dunia kwa tambarare ahalafu pia duara
  8. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyowahi maishani

    na watu wengi wanadharaulika na hata kukosa fursa kutokana na kuwa omba omba mpk kero kiasi siku anakiwa na shida kweli lkn anashondwa kusaidika ndio mana hata katika mafundisho ya uislam MTUME alitufundisha kuwa usijidhihirishe sana na ufukara au umasikini wako kwamba kila mtu ajue wewe huna...
  9. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyowahi maishani

    mkuu wangu lete story achana na hao yaan ni episode chche umeleta lakini zina funzo kubwa napendekeza ungekuwa unaelza kwa kirefu zaidi na ufafanuzi hao waduanzi wapo tangu miaka na miaka humu ambao wanagezana yaan wakiona mtu kaongea kitu furani basi nao hufuata mkumbo kuongea so shusha...
  10. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    ilikuwa swala la muda tu hatimaye
  11. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    fainal gani hii yaan fainal dundo lote anapiga spain halafu unasema kali hamna kitu humu
  12. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Mke wa mwana mieleka wa WWE Jay Uso, Takecia Fatu, adai talaka, ataka mgao wa mali pasu kwa pasu pamoja na pesa za matunzo

    😃😃😃😃 mkuu unizoee tu usiku unakuwa una mambo mengi unaweza ukawa una comment huku mambo mengine yanaendelea unajikuta na uandishi wa hovyo kupindukia
  13. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Mke wa mwana mieleka wa WWE Jay Uso, Takecia Fatu, adai talaka, ataka mgao wa mali pasu kwa pasu pamoja na pesa za matunzo

    mwanamke kwa mwanaume akiolewa kazi yake ni KUDINYWA na KUKUZALIA mtoto hayo mambo ya kuleta mali sio shida zake mkishindwana unampa chake sasa unadhani miaka zaidi ya 15 wapo pamoja katumia akili yake mawazo yake nguvu zake kufika hapo hivi unajua STEVE JOB wakati wanaazisha APPLE na...
  14. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia Iran kijeshi na kuweka vikwazo vipya vya mafuta, hali yachafuka Mashariki ya Kati

    kuna KIONGOZI mmoja wa IRANI wakati wa kuuga mwili alinukukiwa akisema kuba kiashiria cha mashambulizi lakini akaitaja ISRAEL ila alisema wana jibu kali ndhani walinua na walijiandaa kuwa wakati wa maombolezo lazima kutakuwa na shambukioa ndio mana kama waliamua kujipanga nadhani ngoja kwanza...
  15. Mzimu wa Kolelo

    JamiiForums Tanzania Mke wa mwana mieleka wa WWE Jay Uso, Takecia Fatu, adai talaka, ataka mgao wa mali pasu kwa pasu pamoja na pesa za matunzo

    utaperi gani sasa ameanza kumdinya huyo demu tangu shule haya haitoshi akamuoa kwa miaka 12 na kamzarisha inamaana walianza kuwa pamoja kbla hajawa star kma anataka waachane kwann wasigawane mali kwa huyo mkewake na walipotoka ni halali kabisa kudai chake walichochuma 7bu walianza wote akiwa...
Back
Top Bottom