mzee mwanaume ni lazima uwe na msimamo wakiume aswa wakati mwingine siyo kila asemalo mkeo basi ulifwate leo amtaki hg kesho atamtaka ndugu yako kesho mzazi wako atakwambia kama utaki anaenda yy so mwambie aende kama niiyo mimba inamzingua imzingue kabisa muda ukifika atarejesha miguu nyumbani...
Ningefurahi sana kama zanzibar ikiwa nchi yake inayojitegemea yenyewe bila kufungamana na tanganyika ili kila mmoja aijenge nchi yake na watu wake.sababu zanzibar awataki na aina aja yakulazimisha muungano usiyo na tija kwa zanzibar na tanganyika coz sijaona manufaa yoyote yatokanayo na muungano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.