"nikiwa kama mZanzibari kindakindaki, tena bado kijana, SIKUBALIANI nawe kabisa kwa mawazo yako, kama atajaaliwa uhai na uzima (na in sha Allah tunamuombea) bado tunamuhitaji SANA! maalim, kipenzi cha roho yetu, aje atuwekee misingi madhubuti ya uongozi kisha ndio ajipumzikie, kwa hili hana...