Maalim Seif Ndani ya Star Tv Tuongee Asubuhi

Maalim Seif Ndani ya Star Tv Tuongee Asubuhi

Hivi wewe unavyoona leo hii hili ''zee la madevu'' likisimamishwa na Shein pale Zanzibar, kuwe na fair play, nani ana mvuto kwa wazanziba,. Siasa ni target ndugu yangu, japo mimi siipendi
Ritz, huyu m-ccm mwenzio hajui kuwa ndevu ni Sunna katika uislam?
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mh ni mroho wa madaraka kwani umri nao umeshamtupa mkono alitakiwa ang'atuke kwa heshima akawapisha vijana tena wananguvu kisiasa yy angebaki kuwa baba wa taifa kwa zanzibar tena angejenga historia ya zanziba na ulimwenguni pote leo nimemsikiliza kwa makini sana nilichogundua na ni mlevi wa madaraka ,kwani ameshajenga historia kisiasa anaheshima yake wala hatutoweza kumsahau huu ni wakati wa vijana amuachie Mansuri Yusufu Himidi yuko fiti kwa nafisi ya urais wa zanzibar zanzibar kwanza ,,,

Umri mkubwa hauwezi kuwa kipimo cha mtu kutokuwa kiongozi hizo ni fikira potofu na nyaufu, muhimu hapa ni afya njema na uwezo wa kuwa kiongozi pamoja na sifa zake pia ana impact gani kwa wananchi wake. Lowasa ana umri mkubwa zaidi kuliko maalim au tuseme wako sawa lakin bado anatamani kuwa rais JMT, hata Sitta pia. Kwa iyo hizi ni pumba tu labda chuki Fulani mtu binafsi alizonazo kwa mtu Fulani. lakini hii haisaidii kitu mana wazanzibar wanamkubali
 
Ritz ili kuonyesha jinsi ulivyo mnafiq umeukimbia huu uzi baada ya kuona wana ccm wanakejeli uislam. Angekuwa m chadema ungekuja mbio mbio kutukana chadema
 
Last edited by a moderator:
Hana kitu kabakiza madevu tu lakini mengine hakuna kitu tuone hayo madevu kama yanasaidia kitu kuongoza watu.

Chuki zako ni bure ni sawa na kumwaga maji juu ya mgongo wa bata wazanzibar tumemkubali. hiyo yote ni khofu ccm kuanguka uchaguzi ujao
 
Hii muvi ya katiba mpya ni tamu sana let us wait kitaeleweka tu mda c mrefu.
 
Hana kitu kabakiza madevu tu lakini mengine hakuna kitu tuone hayo madevu kama yanasaidia kitu kuongoza watu.

sasa hiki ulichoandika hapa ni nini? si bora ungekaa kimya kuliko kuonyesha U.PU.MBAVU wako hadharani?
 
Huyu Mh ni mroho wa madaraka kwani umri nao umeshamtupa mkono alitakiwa ang'atuke kwa heshima akawapisha vijana tena wananguvu kisiasa yy angebaki kuwa baba wa taifa kwa zanzibar tena angejenga historia ya zanziba na ulimwenguni pote leo nimemsikiliza kwa makini sana nilichogundua na ni mlevi wa madaraka ,kwani ameshajenga historia kisiasa anaheshima yake wala hatutoweza kumsahau huu ni wakati wa vijana amuachie Mansuri Yusufu Himidi yuko fiti kwa nafisi ya urais wa zanzibar zanzibar kwanza ,,,

"nikiwa kama mZanzibari kindakindaki, tena bado kijana, SIKUBALIANI nawe kabisa kwa mawazo yako, kama atajaaliwa uhai na uzima (na in sha Allah tunamuombea) bado tunamuhitaji SANA! maalim, kipenzi cha roho yetu, aje atuwekee misingi madhubuti ya uongozi kisha ndio ajipumzikie, kwa hili hana hiari ni lazima, upo sheikh? usitusemee tafadhali na kwa hili Allah atatutakabalia dua zetu kwa Rehma zake"
 
Mdau toa maoni yako

Last edited by a moderator:
Usimwamini mwana siasa na usiwe muumn wake kuwa muumn wa itikadi
 
Nilisikia msafara wake umepata ajali nikawa najiuliza inakuwaje rais wa mkoa wa Zanzibar iweje apatie ajali Mwanza? Kumbe alifunga safari kwenda kuongea kwny t.v. tena ya CCM!
 
Suala la afya kuwa na Mgogoro si lake peke yake. Nasikia hata Mgombea mwingine wa Rais wa Muungano afya yake ina mgogoro lakini akazidi kutoa Pesa akipate hicho cheo.

mwandosya au lowasaaa
 
akipunguza makali ya matutusa wa lumumba hawatamuelewa.
I have got your point, hao jamaa wa Lumumba,kwa jinsi walivyo na vichwa vigumu, wakati mwingine unalazimika mtu kutumia lugha 'harsh' ya kupitiliza kidogo!
 
Seif ni kisiki cha mpingo, CCM wote wanajua pasipo shaka, kasoro tu wale wanaojitekenya na kucheka wenyewe!
 
Back
Top Bottom