Recent content by Mzembe flani

  1. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Watumishi tunaungwa katika Vyama vya Wafanyakazi TUGHE na TALGWU bila kuchagua?

    Mimi niligoma kabisa kuunganishwa. mpaka leo sina chama chochote
  2. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Mobile app & Website Designing Services

    Hizi zote ni wordpress boss?
  3. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kufungua Mfumo wa Utumishi-ESS PEPMIS kwa Tablet, shida itakuwa nini?

    Habari, ni vizuri ukatoa screenshot ili tuone error inayoleta.
  4. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Napunguzaje matumizi ya mbs nikiwa na browse websites kwa laptop yangu

    Browsing haili Mb nyingi kama una browse vitu vilivyo katika mfumo wa maandishi, ila kama una browse media na kuzi stream hapo ndio utatumia MB nyingi. Upande wa pili kama PC yako inakula MB nyingi pindi unapokua umeunganisha data, basi changamoto itakua ni background processes kama vile auto...
  5. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Mentality Shift; From Self Reliance to Total Dependency

    Thi This is soo deep brother
  6. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Nilijifundisha programming kwa namna hii

    First they attack you, Then they admire you! This is why we are behind in technology!
  7. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Typescript developer

    Ingekua vema ungeainisha unahmuhitaji kwa shughuli gani na details nying za msingi, maana kikawaida watu wanakua busy na matangazo kama haya ni rahisi kupuuzia maana kama mleta tangazo hawezi kueleza vizuri mahitaji yake kamili utajiuliza je atawezaje kumeet standards za maelewano mengine?
  8. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kubwa kwa nini ujiwekee malengo yasiyowezekana kwenye maisha yako

    Hili andiko ni zuri ila limekaa kidini sana kiasi likapoteza muelekeo. Naweza kusema kua jiwekee malengo makubwa na sio yasiowezekana, Push yourself beyond the limit and you will be astonished with what you can accomplish! anyways, KUDOS!
  9. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa maprogrammer

    Myth without facts
  10. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming

    Hakika sana, muamko wetu kiteknolojia sisi kama watanzania ni mdogo sana, jirani zetu wakenya wametuacha pakubwa hivi sasa, changamoto nadhani ni kua sisi wenyewe tumebweteka sana na kuridhika na maisha yetu ya kila siku hivyo linapokuja swala la kudevelop skills individually linakua mtihani...
  11. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming

    Meanwhile am looking to connect with a community of programmers in Tanzania.
  12. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming

    Mkuu safari ya kujifunza inatofautiana na mtu na mtu, mimi nimeanza kujifunza low level programming i.e bash scripting then nikaja C, baada ya hapo nikaja High level programming ambayo ni python na sasa nipo javascript. HTML na CSS pia nilizifanya ndabni ya muda mfupi sana, mean while humo...
  13. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

    Hapana kwa mtu yoyote anaweza muhimu dedication tu na hardworking, mwanzo utaona ni vigumu huvielewi ila baadae kadri unavyoendelea ndio vinazidi ku-make sense. In reality ni kua tech field ni ngumu na inahitaji kujitoa, ukiingia mitandaoni utakutana na tech gurus kibao wanakupa matumaini fake...
  14. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

    Unatumia laptop gani?, ALX wana tools zao ambazo zinakua ni za online so muhimu sana bando, mimi niko nafanya SE, Cohort 22 saivi.
Back
Top Bottom