Recent content by Mzeiya96

  1. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau, nje mada. Ninatoa huduma ya bando la internet kwa watumiaji wa halotel tu. GB 23 kwa 15k GB 31 kwa 20k GB 39 kwa 25k GB 47 kwa 30k GB 55 kwa 35k GB 63 kwa 40k Ni ofa ya eid na pasaka. Nicheki WhatsApp/Call 0713136684
  2. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    International break jau tu. Ligi zirejee tuanze kuona maruweruwe.
  3. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Forrest v Fulham (1) Utd v Aston villa (x) Azam v Uto (x) FCB v Sevilla (1) Odds 20+
  4. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu, ukimlinda Uto, ukawafuata Arsenal, Barcelona na Chelsea zinatoka odds 8+
  5. M

    GE2025 Hivi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au mbona sielewi?

    Hawa gen z ni moto sana. Hivi juzi walitest mitambo yao. 100% lazima wakiwashe. Juzi nilikuwa kwenye daladala la mwenge mbezi, gen z mmoja alikuwa anaongea kwa simu, anasema "tukiwa wanyonge watatuonea sana"
  6. M

    Jipatie Unlimited bando kutoka Vodacom, kuanzia elfu 70,000/= tu.

    Hii huduma bado ipo wadau, karibuni sana. Ukihitaji piga/WhatsApp 0713136684
  7. M

    Jipatie Unlimited bando kutoka Vodacom, kuanzia elfu 70,000/= tu.

    Kama unatumia halotel, hii si ya kukosa. GB 7, sh.7,000 GB 14, sh.13,000 GB 21, sh.15,000 GB 28, sh.20,000 GB 35, sh.25,000 GB 42, sh.30,000 GB 49, sh.35,000 GB 56, sh.40,000 Vifurushi vyote ni vya miezi 4. Ukihitaji Nicheki 0713136684 au Follow this link to join my WhatsApp group: GB ZA HALOTEL
  8. M

    Naombeni mbinu za kumzidi kibiashara ya mpinzani wako

    Kwa maana hiyo ni biashara ya library. 1. Hakikisha una movie kali na angavu 2. Chunguza aina ya wateja wako, kama ni hovyo inabidi na wewe uwe wa hovyo, akija dukani unatumia lugha ya kumteka ili kesho aje tena. Kama ni watu wastaarabu uwe mstaarabu kuzidi wao. 3. Boresha ofisi, ikiwemo...
  9. M

    Mimi sifurahishwi na kinachoendelea ila siwezi kuandamama wala kuipinga serikali ili niuliwe na kupotezwa never .

    Mnakosea sana. Wote wanaochukizwa na ushetani wa ccm ni cdm? Mnakosea sana. Watu wakiandamana kudai haki zao ni cdm?
  10. M

    Wanajifanya wanamtetea Lissu lakini ukiwauliza nyie mpo chama gani wanasema hawana chama wanaona aibu kujiita ni CHADEMA kwasabu wanajua maovu yao

    Umetaja neno "laana" Nionavyo mimi: Aliyelaaniwa ni yule anayemsujudia binadamu na kumwacha Mungu. Muuwaji na anayemwaga damu isiyo na hatia. Mdhalimu na mtesi. Pia mtumwa wa aliyelaaniwa naye amelaaniwa. Kwa maana anafanya kazi za aliyelaaniwa.
  11. M

    Simba imetia aibu

    Yanga au Simba, kuna timu ya wananchi na timu ya CCM. Simba au Yanga, kuna timu 96% ya wapenzi au mashabiki wake ni makada wa CCM.
  12. M

    PICHA: Hii ndio maana halisi ya mfariji wa Taifa. Rais Samia Abarikiwe sana

    Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu. Chawa mmeshaharibu.
  13. M

    GE2025 Rais Samia kuitetemesha Dunia Kesho

    Haina haja ya kufanya uchaguzi
  14. M

    Toka ujiunge JF ni upi uzi wako bora?

    Uzi wangu pendwa WAZEE WENZANGU WA KUWEKA MIZIGO huu uzi bado unaishi. Nitaupotezea kwa miaka 2 au 3. Lakini lazima nirudi
  15. M

    Kwa Katiba ya JMT hata wakipiga Kura Watu 10 mwenye Kura nyingi anatangazwa Mshindi, msishabikie shabikie tu!

    Tungekuwa na viongozi wanaoamini uwepo wa Mungu, hii katiba ingeshabadilishwa miaka 20+ iliyopita. Watawala wanapeana zamu za kujilimbikizia mali na kufanya ufisadi kadri wawezavyo, hawataki kusikia habari za katiba mpya. ENYI IBILISI MLIOLAANIWA, HASIRA YA MUNGU I JUU YENU NA VIZAZI VYENU.
Back
Top Bottom