Recent content by mzeewapori

  1. M

    Kipi ni sahihi?

    Kila jambo lina muda wake na nafasi yake.
  2. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Kumpa Chenge ni sahiihi kabisa... Kwani tunataka nini kitokee baadaye'''''''''''''''' Hongera sisim kumchagua chenge
  3. M

    GE2010 Pinda: Umasikini umepungua Tanzania

    WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Tanzania imefanya vizuri katika elimu, kupunguza umasikini na kukabiliana na magonjwa ya Malaria na Ukimwi. Alisema juhudi hizo zinafanyika, ikiwa ni katika utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) na itajitahidi kukamilisha malengo yaliyobaki...
  4. M

    GE2010 Ngeleja amehonga wagombea wa upinzani?

    Inawezekana hii ni nguvu ya RA. Kwani alikuwanaye Voda, akamtoa na kumpa uwezo wa kugombea ubunge/Uwaziri wa Nishati (Caspian ndiye mbia mkuu wa kampuni za madini) ili aje alinda maslahi yake. Hivyo inawezekana ni mwendelezo tu wa mambo hayo. Something is wrong somewhere kwa hawa wapinzani...
  5. M

    Ndoa ya CCM na CUF ilifanyika lini?

    Tungoje wote wakianza kampeni, ndipo tutajua. Lakini ieleweke kuwa watanzania hasa huku porini/kijijini kwetu wamechoka sana. Nashindwa kuelewa wanatoa wapi nguvu hizi za kuhudhuria minkutano.
  6. M

    AG awaonya TUCTA kujihusisha na siasa

    hii ni rushwa nyingine
  7. M

    GE2010 Serikali yafadhili kampeni za CCM

    Hii topic nadhani ingeenda kwenye thread ya Uchaguzi Tanzania 2010
  8. M

    GE2010 Serikali yafadhili kampeni za CCM

    Gazeti la Mwanahalisi la leo (August 11-17) limetoa taarifa ya Ikulu kufadhili kampeni za CCM kwa kuchapisha fulana na picha ya Rais. Sijui hii ni EPA nyingine, sina uhakika. Naomba tujadili..... Mzeewapori
  9. M

    Habari

    Jamani naomba kuwasalimie wote kwenye jukwaa hili la siasa. Kwa vile bado nipo porini, nitawasiliana nanyi baadaye ili niwape vizuri habari za huku porini Mzeewapori
Back
Top Bottom