Recent content by Mzeewakaya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Blogger Robert Alai(Kenya) amtaja RC Makonda kuhusika na Shambulio dhidi ya Tundu Lissu

    Kelele za chura tu Chadema ndio wanachopigania na siasa za uzushi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanachokitengeneza CHADEMA ni siasa za "Appeal to Fear"

    Upinzani ulifikiri mwendo utakuwa ule ule wa serikali ya Kikwete sasa chuma kipo madarakani waache waisome number.Democracy gani wanayotaka ya kila siku kuandamana.Ss wananchi tunataka maendeleo.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wenzetu wanavyomsifia Magufuli: Here comes The Bulldozer

    Hata serikali ya malaika ije Tanzania kuna watu mda wote wanawashwa hawataacha kupinga
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tigo wameondoa vifurushi vya chuo

    Mnalalamika nyie ni wanafunzi au shobo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    $a Xbox scss$$ sac acz
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete alivyoshangiliwa Bungeni leo inamaanisha nini?

    Very true wanasiasa ni wanafiki tu na wabinafsi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete alivyoshangiliwa Bungeni leo inamaanisha nini?

    Hii inamaanisha wanasiasa ni wanafiki wanajali maslai yao na matumbo yao kuliko wananchi waliowachaguwa.Baada ya kubanwa maslai yao wanataka kulia na sisi.Mbona wakiongezwa posho hawaombi support yetu tutumie nao.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lema ni Mwanasiasa wa Kawaida, Ila Chuki ya Watawala Imemfanya awe Shujaa

    Akizingua tena ndani hadi miaka mitano ipite akishituka hajafanya kitu chochote
  9. M

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais kunyang'anywa Passport Mkandarasi wa Maji

    Tulia wewe anatafuna pesa za nchi harafu aachwe tu afanye kama unavyotaka.Kila mradi una specific period kumaliza
  10. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya wagombea Ubunge jimbo la Kinondoni yatoka, Mgombea wa UKAWA akatwa

    Mgombea kama huyo hafai kwenda bungeni kwani hata form tu anashindwa kusimamia ndio ataweza kusimamia sheria na mikataba ya taifa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Kila mtu ana haki kuwa pande anayoitaka.Team Magufuli Oyeeeee tukutane Jangwani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Episode I: Agano-Lowassa Lazima awe Rais, Ndio mkakati tangu 95

    Why na yeye alikubali kutudanganya watanzania watuzuge na raisi eti anajiuzulu kifekifeki kiongozi kama yeye hafai.Kwa nini anachukuwa fedha za matajiri kutoa misaada makanisani na misikitini hatufai matajiri watamdai akiingia ikulu. Team Magufuru hana makundi nje na ndani ya chama.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Walibya waliitwa Mapanya,Wanyarwanda wakaitwa Mende,TZ tunaitwa Vibaka,Maadui,Oil Chafu,Makapi, nk.

    Acha uchochezi wa kifala wewe jaribu kuwa kimbelembele tukuzike na usauliwe baada ya October kuisha mavi kunuka wewe
Back
Top Bottom