Recent content by mzeerelax

  1. mzeerelax

    JamiiForums Tanzania Muvi na series zilizoandikwa vizuri

    Tehran movie inayosimulia jinsi MOSSAD walivyoingia Iran kulipua vinu vya umeme imepangika vizuri. Love lies hii nayo ni movie moja kali, wahusika wake wameigiza kwa umahiri mkubwa sana
  2. mzeerelax

    JamiiForums Tanzania Kupika au kununua kwa mamantilie

    ni bora upike mwenyewe kama unajua kupika. unaweza kwenda kwa baadhi ya mama ntilie hayo maji tu ya kuoshea vyombo machafu balaa, kuna kisponchi flani kimepiga weusi ambacho anafutia meza hicho hicho kinaenda kwenye beseni kuosha sahani. muda mwengine unaagiza supu anaileta supu dole gumba...
  3. mzeerelax

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    akituma naomba unitag
  4. mzeerelax

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya asili uliyo nayo bila wewe kujua

    fact
  5. mzeerelax

    JamiiForums Tanzania The Book of meditation by Marcus Aurelius

    ni kazi nzuri, mungu akubariki
Back
Top Bottom