Kwa akili za viongozi zinazowaza madaraka, kuua upinzani, ngono, kuiba, utajiri binafsi, kula bata, kutapeli, kudanganya, wivu, kuzuia wengine wasipate maendeleo, kabila langu, ndugu zangu, kijijini kwangu, kutalii nje kulikoendelea, nk, sijui.
Naomba tujaribu kufanya tathmini, viongozi wengi...