Hakuna mila ya kisukuma ya ivyo nimekulia kwa wasukuma sijawahi sikia hicho kitu umechanganya na wakurya but nao sio vitendo ivyo.
Moja kati ya malengo ya ndoa ni kupata watoto. Sasa hawa watapataje watoto
Katika familia baadhi ya familia migogoro ni mingi na utatuzi unatofautiana kulingana na mila na desturi za wahusika.
Naomba tupeane mbinu ni jinsi gani mnashiriki kutatua ugomvi au kusuruhisha mambo yanayohusu wazazi wako.
Kunajamaa ye alilelewa na halikuwa akiamini in Mtoto wa familia ya baba mmoja jirani hapa lakini jinsi alivyo kuwa akawa anaonekana kufanana almost kila kitu na ex wake. Kwa waliokuwa wanafahu uhusiano uliokuwepo walianza minong'ono ya chini chini hatimaye wanafamilia na ukoo wa yule baba...
Inauma sana pesa zetu kufanywa mtaji wa viwanda.
Kuna risk kubwa sana kupata pesa izo uzeeni kwani wanaokopeshwa kujenga viwanda hawatabiriki. Siasa inapoingilia mambo ya uchumi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.