JULIANA SHONZA: nalizimika niseme kidogo mambo machache kutokana na kulihusisha Neno la Mungu aliye hai na upuuzi wenu wa kisiasa...
Ni kosa kubwa sana kupotosha maandiko ili kuhalalishi mawazo yako ,jaribu kuliheshimu Neno la Mungu utakuwa salama, Biblia inasema " Usihukumu usije...
Wasemaji wa UKAWA mmekuwa kimya sana juu ya nini kinaendelea kwenye vikao vya uteuzi..muda tulionao siyo rafiki, kwani hata mgombea anayeteuliwa anatakiwa ajue mapema na ajipange kwa kampeni..
Mtaani tunakosa majibu tupeni mwelekeo tafadhali
Asante kamanda kwa taarifa.....ila majina ya Watia Nia umeyakosea....huyo siyo Leonard anaitwa DERRICK LUHENDE mjukuu wa T.S.Mapolu na huyo mwingine ni SAM NTAKAMLENGA...hapo sawa....CCM Urambo sasa basiiiiiiii...
KDS : uwe fair kidogo, chuki binafsi siyo nzuri,bahati nzuri sana mimi na wewe tunafahamiana sana,funguka wanajisikia katika lipi hawa watu....kwa mtu yeyote anayeufahamu vizuri huu ukoo wa Mapolu,hawezi sema maneno hayo unayosema...Jumapili njema na Mungu akubariki
Nawasalimu wote watanzania wenzangu, Amani iwe kwenu:
Jimbo la Urambo mashariki limeongozwa kwa miaka mingi sana na Ndugu Samuel Sitta,
Na sasa ametangaza kutogombea na anataka kumwachia jimbo mke wake Mama Magreth Sitta,nadhani dhana za kuachiana madaraka kifamili imepitwa na wakati...
kitu kilichonifurahisha ni kijiji changu cha Ussoke mlimani kinaongozwa na Chadema chini ya Jackson kitwe...hongereni sana wana ussoke na vitongoji vyake vyote,Ichecha,Ngalamira,n.k..
Mapambano yalikuwa makubwa sana...mama Sitta na kundi lake akina Malunkwi diwani toka Izimbili,na wapambe...
Maandiko yanasema "apandacho mtu ndicho atakacho vuma" dhambi hii ya ubaguzi wa kidini unayoipanda kwenye akili za watu,Mungu atakudai damu ya Watanzania .
Bahati nzuri sana Mungu yupo mahali pote,anajua yote,na anaweza yote.
Kujificha kwenye ID zenu,hakumzuii Mungu kukushughulikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.