Uwezo wa Mwigulu ndio huu hapa

Uwezo wa Mwigulu ndio huu hapa

Pale CCM kuna watu kama Mwigulu na Nape wanadhani future yao iko CCM tu, hawafikirii maisha nje ya CCM, hii ninhatari mno.
 
Huyu mwehu Mwigulu Nchemba naye ni wakujadili hapa.? Hilo ni roboti la maccm.!
 
hatuna muda wa kujadili wauaji kama huyu gaidi chemba la choo
 
Nilipogundua jk ni bure kabisa, ni kitendo cha kumteua mwigulu kuwa naibu waziri wa fedha! Watanzania tulifanya makosa makubwa mwaka 2005!
 
Hivi alipokimbilia kwa Nabii TB Joshua alifuata nini?Nadhani alipuuzwa kwa sababu hakwenda kwa nia njema.Ni Muuaji!
 
Kikwete,kikwete,kikwete!!uliona na mtu uyu umpatie uwaziri jaman?
 
Ebu chukua muda kidogo na kusoma alichoandika huyu so called Deputy Minister of Financy of what called Tanzania!!!!!

KWA WANA CCM WENZANGU:

Kazi ya kuigaragaza CUF na kuiweka Mahali wanapostahili
Ilifanyika Mapema na kwa Ustadi Mkubwa
, Wakati tuko ktk
Mchakato wa Kuishuhulikia CHADEMA ili nayo tuwaweke
Wanapostahili, Bunge la Katiba likajitokeza na Kuwanusuru,
Wasiwasi na Hofu ilowapata, wakaamua kuunda Njama na
Kuwakokota CUF ambao tayari hawjitambui Chini ya Bango
la UKAWA kwa sasa wako katika mataarisho ya kuizunguka
Nchi ati kuwaelimisha wananchi juu ya Katiba. Jambo jema ni
Watanzania wako Makini. Itawashangaza Watanzania kuwaona
Watu walitoka Bungeni kwa kukimbia Majukumu walokabidhiwa
Rasmi wakipita mitaani na Hadhi za Ualimu wa KATIBA, katiba
ambayo RASIMU yake tu Imewalewesha, Wakachukuwa POSHO
na KUTOWEKA!! Ni juu yetu Wana CCM kuwatahadharusha
Wananchi Wasipoteze wakati wao kuwasikiliza Watu Walofeli
kwa Kushindwa Kutekeleza Wajibu wao na Majukumu Waliopewa
na Badala yake Kulalamika na kutoa Visingizio kama Watoto wadogo!!



Anafaa atambue kuwa CUF wameshatambua kosa walilofanya kuwa CCM B na hivyo hivyo CDM maana nao waliwakataa awali kuwa kitu kimoja.Lakini hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho.

Naamini Ndoa ya vyama vya Upinzania kwa sasa inawatesa CCM
 
Yupo sawa, mseme msemavyo Mwigulu ni moto kwetu maana yeye anacheze vyovyote mtakavyo , mkipaki basi yeye anafunga kwa free kick , mkiweka chini yeye anafunga kwa kisigino mwisho wa game ni 5-0 mtakubali tuu na Ukawa yenu kwa wananchi wamegundua c lolote c chochote.

Wananchi wamegundua si lolote si chochote? Una uhakika na usemalo au umaridhisha nafsi yako tuu?
ImageUploadedByJamiiForums1400339858.660592.jpg


Sent from my iPad using JamiiForums
 
sasa hivi ccm hawaoni njia wameduwazwa. mimi naomba UKAWA wandelee kugomea bunge ili tuone CCM wanaujanja gani wa kuendelea. UKAWA wanasababu ya kutoka nje ya Bunge na Sisi wananchi tuewaelewa. Kwa faida ya Miccm, UKAWA watarudi tu endapo kwa mujibu wa sharia, wote watabaki njia kuu, yaani kujadili rasmu iliyopelekwa bungeni.

Huyo Mwigul atajiju>
 
Yupo sawa, mseme msemavyo Mwigulu ni moto kwetu maana yeye anacheze vyovyote mtakavyo , mkipaki basi yeye anafunga kwa free kick , mkiweka chini yeye anafunga kwa kisigino mwisho wa game ni 5-0 mtakubali tuu na Ukawa yenu kwa wananchi wamegundua c lolote c chochote.
Ukawa wamechanganyikiwa mwigulu atawafanya mbaya,jembe la ccm.
 
CCM hata usomeje, haisaidii!!! wamekwisha shindwa, zao ni propaganda tu. Katibu wa ccm anawalalamikia watendaji wa serikali huku akijitia wendawazimu kua hajui kwamba wameteuliwa na mwenyekiti wake. Fool!!
 
"Mtanikumbuka" Mkapa
ni kweli tutamkumbuka kwa kuliibia taifa hili na kutuingiza kwenye matatizo kama ya radar, magari ya jeshi, epa, ndege ya rais mpaka tukala nyasi, iptl, mwananchi gold, kiwira, anaben bank, kuuza NBC, kukodisha tenesco kwa makaburu na mengine mengi! bila kusahau udikteta
 
Ccm mmekalia la moto, katiba feki na muungano wa kimangumashi na kauzi za kuuzi za huyu fisadi wa elimu ex - class seven look v zimewatumbukiza shimoni
 
CCM moto wanao, Lazma wapelekwe kasi na UKAWA,maana mda wote ccm full kuweweseka.
 
Back
Top Bottom