Mwezi ni satellite na jua ni nyota. kwa uelewa wangu jua halizunguki limetulia sehemu moja bali dunia ndo hulizunguka jua. kuhusu mwezi unapochomoza nusu kuwa chini ni kutokana na upande huo kuwa upande wa jua kwani mwezi huakisi mwanga wake kutoka kwenye jua.
Kwa degree holders ni miaka 28 na kwa wenye masters na kuendelea mwisho miaka 35, huo ndo ukweli. Miaka 23 ni form 6 hadi darasa la 7. Karibuni tupige kazi, sifa uvumilivu.
Lakini kumbuka kuwa wametoa uhai wao kwa ajili yenu ninyi kuwa salama, hivyo sioni kama kuna tatizo endapo wasipotoa nauli ukilinganisha na kazi wanayoifanya.
Nimesikia mara nyingi ikitokea mtu ana tatizo la figo moja inaondolewa na kutafutwa nyingine ya mtu mzima ili awekewe. Je, kama huyu mgonjwa figo yake moja imeshindwa kumsaidia, yule anayetoa figo yake kumsaidia mgonjwa hapati matatizo kwa kubakiza1?
Mi nafikiri hajakosea kwa alilolisema ila inabidi afikirie namna ya kuwawezesha wadaiwa kiuchumi ili wajengewe uwezo wa kulipa madeni yao. Bila hivyo, kurudisha itakuwa vigumu kwani maisha ni magumu, mtu hana hela ya kula sembuse ya kulipa deni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.