Ofisi za Happy Nation ya kupokelea mizigo DSM siyo salama kwa mizigo. Mzigo ya wateja umerudikwa nje na kunyeshewa mvua. Ndani ya store ya mizigo,mizigo ya mafuta na isiyokuwa na mafuta imechanganyika. Mizigo ya samaki imechanganywa na isiyokuwa ya samaki.
Ofisi hiyo ya kupokelea mizigo...
Kama vyombo vyetu vya usalama viliandamana,Pili kuna kitu ambacho lazima watu wajiulize je shughuli za uzalishaji zilikuwa sawa, je watu walijifungia ndani kutizama sherehe za muugano. Mie binafsi nimeangalia sherehe za muungano mwanzo mwisho ,nimeweka record
Waombaji wa Mkopo kwa kujisajili kwa njia ya mtandao kuwa uwezekano mkubwa kukosa mkopo.
1- Waombaji wamekuwa wanalipa pesa kama inavyoelekwa kuipitia mpesa na tigo pesa bila ya mtandao wa bodi kumruhusu mwombaji kuendelea na hatua nyingi.
2- Ukipata bahati ya kuendelea unakwama katika unabaki...
NOTE: Mada mbalimbali zitajadiliwa kwenye mkutano huo lakini moja ya mada ambayo inatarajiwa kuwa na msisimko ni ile itakayozungumzia wimbi la Wakimbizi na Wahamiaji duniani. Kwa mujibu wa tovuti ya Umoja wa Mataifa, hii ni mara ya kwanza Mkutano Mkuu wa UN kukutanisha wakuu wa nchi kujadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.