Recent content by Mzee Wa Republican

 1. M

  Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

  Aisee . . . itakuwa janga la kitaifa
 2. M

  SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

  Hatumtaki kwetu huku. Angemweka Angela Merkel karibu angesaidika zaidi kwa taarifa yako
 3. M

  SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

  Kapotea kabisa. Tony Blair is worthless kabisa kuwa mshauri. Ina maana hajamwona mwanamke mwenzake Githa Gopinath ? Au Mohammed El Erian ? Vipi kuhusu Condoleezza Rice? Anazidi kupoteana kabisa
 4. M

  SABC washangaa Rais Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake

  Braza Ramaphosa hawezi kufanya kitu pale kwenye land reforms. Atauporomosha uchumi wa nchi akitia tu kidole pale
 5. M

  Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

  Trilioni 78 ni nyingi sana. Lakini mbona mlikuwa hamsemi enzi za JPM ?
 6. M

  CHADEMA: Tuko tayari kukutana na Rais Samia kwa ajili ya maridhiano

  Usimchukulie poa mshindani wako wakati mechi haijaisha. Utapigwa counter attack ushangae
 7. M

  Secret army of 60,000 CIA undercover operatives deployed worldwide

  Wenzetu wako serious sana na masuala ya usalama. Sisi tunajikanyaga kanyaga tu. Afu eti tunataka kushindana khaaa
 8. M

  UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

  Hahahahaaaaa . . . JF raha sana . . JF always makes me proud . . . JamiiForums - a stress free zone
 9. M

  UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

  Tofauti yake ni kubwa sana mzee japo wanaweza kuonekana wako sawa but things are quiet different mkuu. Presidential communication ni kwa ajili ya mawasiliano ya rais pekee. Yaani ni sawa na kumwita Presidential aide on Communications kama Marekani wanavyomwita. Msemaji mkuu wa serikali ana...
Top Bottom