Recent content by Mzee wa ngano

  1. Mzee wa ngano

    Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

    Zamani bible iliposema tuishi kwa akil na hawa viumbe sikuelew Zamani bible iliposema tuishi na hawa viumbe kwa akil sikuelewa, au kama nilielewa, nilielewa isivyomaanisha. Kumbe bible ina maana kuwa hawa viumbe wana akil kuliko sisi, so kuishi nao lazima tujiongeze. Tusilale.
  2. Mzee wa ngano

    Ukitaka kujiajiri elimu ya kidato cha nne inatosha, kusoma hadi chuo kikuu ni kupoteza muda

    Unayoyasema ni kweli japo si lazima iwe hivyo usemavyo. Wengine ( kama alivyosema mtu mmoja hapo juu) wanaenda shule ili wakaongeze umri, ili atakapojiajiri at least awe na ka age ka kuweza kuingia hata kwenye ofisi za watu akasema akasikilizwa
  3. Mzee wa ngano

    Ukitaka kujiajiri elimu ya kidato cha nne inatosha, kusoma hadi chuo kikuu ni kupoteza muda

    Unayoyasema ni kweli japo si lazima iwe hivyo usemavyo. Wengine ( kama alivyosema mtu mmoja hapo juu) wanaenda shule ili wakaongeze umri, ili atakapojiajiri at least awe na ka age ka kuweza kuingia hata kwenye ofisi za watu akasema akasikilizwa.
  4. Mzee wa ngano

    TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

    Hakika kila nafsi itaonja mauti, ila huyu kaonjeshwa mauti. Hii hali haikuwepo hapo zamani. I wonder why inashamiri sana sasa hivi.
  5. Mzee wa ngano

    Zuio la baa kufungwa mchana lazua balaa, Mauzo TBL yashuka kwa asilimia 30

    U Unaposema muda wa kazi lazima u specify muda wa kazi wa nani. Watanzania wengi huo muda mnaouita wa kazi hua hatupo kazini.
  6. Mzee wa ngano

    Sasa futeni kauli yenu kuwa ESCROW si fedha za Umma.

    Tuwasamehe bure hao watu. Siasa ni mchezo mchafu.
  7. Mzee wa ngano

    Kenya kuipeleka Tanzania ICC, yadai kisiwa cha Pemba Zanzibar ni chake

    Hata mimi najua ICC ilianzishwa kwa ajili ya kupambana na uhalifu dhidi ya binadamu unaofanywa na wababe wa kivita.
  8. Mzee wa ngano

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Hivi Sitta kumbe ni Spika. Mi nijua hili bunge la sasa halina spika. Kwahiyo na yule mzanzibari alikuwa spika wa muda ee! I mean Pandu Kificho.
  9. Mzee wa ngano

    JK kuwaapisha makatibu w bunge la katiba kesho

    Kwani hukumbuki hata kwenye bible Petro alivyotawazwa miguu na Yesu? Je Yesu na Petro ni nani boss wa mwenzake?
  10. Mzee wa ngano

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

    Watu wawili wameingia kwenye kinyang'anyilo cha kugombea uenyekiti wa kudumu wa wa bunge maalumu la katiba. Watu hao ni Hashim Rungwe na Samuel Sitta. Kabla ya kuanza upigaji kura wagombea walipewa dakika tatu kila mmoja wao za kutoa maelezo ili mwishoe aombe kura. Wakati hoja ya kuuza magari...
  11. Mzee wa ngano

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

    Maana yangu ni kuwa kama tatizo ni muda bac angeruhusu watu waongee hadi hapo muda utakapokuwa umekwisha. Kusema muda hautoshi wakati kikao kimefungwa karibu masaa matatu kabla ni uongo wa wazi. So guy you are trying to divert the point.
  12. Mzee wa ngano

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

    Kikao cha bunge leo asubuhi kimeisha saa 4; 23, ambapo wamezipitisha kanuni za kuliongoza bunge hilo baada ya kumenyana kwa siku 21. Kabla ya kuahirishwa kwa kikao hicho, Mch. Mtikila alitoa malalamiko yake kwa kuongea bila kurusiwa kuwa kwanini tangu jana anaomba kuongea hapewi nafasi ambapo...
  13. Mzee wa ngano

    Wito kwa Bunge la Katiba: Kura iwe ya Siri kwasababu Hakuna aliyetumwa na Watu Kuwawakilisha!

    Unachokiongea ndicho nisemacho. Wajumbe wengi wa CCM wamekengeuka. Wanachokitaka siyo msimamo wa chama, ndiyo maana wale mavuvuzela wamepewa kazi ya kupigania kura ya wazi ili wawadhoofishe hao walio kinyume na msimamo wa chama chao kwani ni wale majasiri tu walio tayari kwa lolote ndiyo...
Back
Top Bottom