Tarehe 14/12/2011,mikutano kama hiyo itaendesha kwa kila wilaya,tarehe 21/12/2011,kila kata na tarehe 28/12/2011,kwa kila kijiji.Baada ya hapo,Chadema Taifa litawaelekeza nini cha kufanya wananchi hasa pale kama maoni yao hayatasikilizwa.Kikubwa zaidi,ni kwamba kama hakutakuwa na mabadiliko...