Recent content by mzee wa misele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume msipende kufanya hili mtalia sana mkakosa wa kuwafuta machozi

    Habarini wakuu , mtaa ninaoishi kuna jamaa ana mpenzi wake ambaye alia za nae mahusiano akiwa na elimu ya standard seven na yeye ni mtumishi elimu take PhD , amemsomesha mpaka level ya degree Leo imefika suala la kuoana kamkataa jamaa kahamua kumnyang'anya vyeti vyote , mpaka sasa jamaa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wadada kupiga simu na kutuma SMS ni nadra sana kwao

    Sio uhusiano tu atamkiwa friend tu wakawaida
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wadada kupiga simu na kutuma SMS ni nadra sana kwao

    Umeona mkuu mi huwa najiuliza kwanini hawakutafti mpaka uwatafte wenyewe hata kama ana Salio anaweza kukubipi tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wadada kupiga simu na kutuma SMS ni nadra sana kwao

    Huwa nashindwa kuwaelewa wadada kupiga simu labda wawe na shida sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wadada kupiga simu na kutuma SMS ni nadra sana kwao

    Habarini wakuu nimekuwa nikichunguza mahusiano ya kirafiki au wapenzi imenishangaza sana kwa nini wadada wengi huwa wanakuwa wazito sana kutuma SMS au kupigia simu wenzi wao au Rafiki zao ,mara unakuta mpigaji simu ni mwanaume zaidi kuliko mdada , hivi hizi tabia ni wadada wote wanazo au ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli akabidhiwa haya majina ya wauza 'unga'

    Wasaidie kutaja hayo majina
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hao viongozi wa TAKUKURU, ile ilikuwa dharau kwa mamlaka ya Rais

    Wewe jamaa ni zaidi ya kilaza dharau zote kwa raisi wasamehewe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wadada wako hivi

    Umeshakumbuka tayari
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wadada wako hivi

    Tatizo sio hela mkuu kama ni hela ninazo zakutosha
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wadada wako hivi

    Haya mkuu lakini asilimia kubwa ya wadada hawapendi kutoa namba mbele za watu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wadada wako hivi

    Wakuu natumaini wote wazima hivi kwanini wadada wengi wanakuwa wagumu kutoa namba za simu wakiwa kwenye sehemu ya watu wengi kama sokoni, balabalani,kanisani nini sababu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda ni mzigo, JPM mpangue haraka

    Siku moja unamuita mzigo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Afya Mh Ummy Mwalimu,akutana na Menejiment ya Wizara yake leo

    Ushapiga kiroba tayari
Back
Top Bottom