Acha kuzungumza kwa hisia Kali ivi. Ongea na umshauri huyo mwanaume wako. Sio wote tuna huo upumbavu. Heshima ichukue nafasi yake. Kaa chini na ujiulize alichokosea kwako ni nini? Na ni kipi kinachokufanya ushindwe kumtreat mwanaume wako adi afikie hatua ya kuwa na mahawara? Ukipata majibu Kaa...
Ofcourse suala la mahari lina thamani sana kwa binti aliejutunza la sivyo hapaswi kupewa heshima ya kutolewa mahari.
Ubarikiwe upate mabinti na wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.