Recent content by mzee wa kasumba

  1. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Hali ya kutokewa na mizimu inadhihirisha wazi kuwa kuna maisha baada ya kifo

    Ukikuwa utajua ulikuwa hujui (shika hii kauli)
  2. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke kutubu kwa mumewe baada ya kuchepuka?

    Nawasalimu. Ama baada ya salamu. Nimekuja hapa nikiwa nimevaa viatu vya mwalimu wangu aliyenisomesha baadhi ya vitu katika maisha. Huyu jamaa ni muislamu. Kama inavofahamika kuwa uislamu unaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Miezi kadhaa nyuma aliamua kuongeza mke wa pili. Tukio lile lilileta...
  3. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuvumilia, nimetembea na mke wa rafiki yangu

    Nimekuelewa mkuu
  4. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuvumilia, nimetembea na mke wa rafiki yangu

    Wacha matusi mdogoetu
  5. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuvumilia, nimetembea na mke wa rafiki yangu

    Habari ya muda huu! Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF. Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi. Yule dada namfahamu, lakini sikuwa na mazoea nae. ila siku moja alitafuta namba yangu ya simu na kuntafuta. Alikuja na gea ya...
  6. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Unanyoa ama unasuka mtindo gani wa nywele

    Mganga ajiganga
  7. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Utupu wako ndio utu wako, sio pesa

    Pole mzee wangu kwa kuambulia kimoja. Wacha maisha yasonge
  8. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Je, unaelewa nini mwanamke akisema anapenda mwanaume romantic?

    Wenye ubongo wataelewa[emoji16]
  9. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

    Mpira ni kama siasa (si hasa)
  10. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Unanyoa ama unasuka mtindo gani wa nywele

    Locomotive faint
  11. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Unanyoa ama unasuka mtindo gani wa nywele

    Nimecheka [emoji1][emoji1]
Back
Top Bottom