Recent content by Mzee Wa Jambo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu Tsh. 600,000, nataka nikope milioni 15 nijenge na kuongeza mtaji wa biashara, naomba ushauri

    Kopa ila hakikisha hiyo biashara itakulipa!!! Vinginevyo utateseka kiongozi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Napambana na uraibu wa kutamani wanawake

    Uzinzi!!! You bera wochi your baki Wake za watu sio sheikh wangu😄😄😄😄
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Shemeji yangu (Rafiki wa Ex wangu) alivyoniambukiza Gono na UTI sugu

    Kwanza kumuingilia mwanamke ambae umekaa nae mbali kwa muda ni hatari kubwa sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vijana Tuzitunze Afya Zetu Maana Ndiyo Mtaji Wetu , Nimejawa Na Msongo Wa Mawazo Mwenzenu

    Najiuliza ni daktari gani alikuambia vile vipimo havitoi majibu halisi..!!!!!! Mtu mwenye ngwengwe hata kama akitumia dawa ipasavyo akipima kupitia zile rapid test ni lazima ngoma ionekane mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

    Huyo achana nae atakupiga vizinga mpaka ukome Me iliwahi kunikuta wa hivyo sema nilichomoka kimya kimya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama mzazi, binti yako ndio amekuja kukuambia kuwa amepata mchumba, ni swali gani la kwanza utamuuliza binti yako?

    Mtoto wakike hapaswi kumwambia baba yake kuwa amepata mchumba Ni Mchumba mwenyw aende akajitambulishe kwanza
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dollar yaanza kushuka kwa kasi

    Aisee naona inshuka kwa Kasi ya kimbunga Acha iendelee kushuka ili tufanye importation vizuti
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tatu nipo kwenye uadui mkubwa na wazazi wangu; siwasiliani nao wala sishirikiani nao kwa lolote

    Pole sana Mkuu Endelea Kumuomba Mungu Kilichopatikana kwa maombi kinalindwa na maombi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

    Utalipa maana anaekutwa na ngozi si ndo mwizi wa.....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Watu wengi wana criticise hali ya kuwa mtoa post yuko sahihi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu ambao hawapati maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU)

    Hii mbona kama ni hadithi ya kufikirika
Back
Top Bottom