Kwa wale wanaofahamu au waliowahi kuchukua tv ya mkopo na kulipa kidogo kidogo kila mwezi, Je changamoto ni zipi?
Pia vipi kuhusu Tv ya Vitron? Mbona zinauzwa cheap sana? Kuna anayefahamu?
INAENDELEA
Haya maisha aise, Mzee wa hekaheka chini nimekula pensi yangu ya misele, Juu Tshirt nyeusi chini raba fulani za elfu jero. Hiyo ndiyo mikato yangu, Kila mida ya jioni huwa nazama kitaa kujichanganya na wana vijiweni kupiga stori mbili tatu za mpira na kucheki baadhi ya game za siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.