Recent content by mzee wa bwaksi

  1. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza siyo Kwa ubaya lakini

    Hivi kwanini kina Mary wengi mnapenda kutumia mkorogo?
  2. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

    Kuna classmate wangu wakati nipo chuo alikutana na kitu kama hii, mtiti wake ilikuwa ni kisanga, hostel nzima tulikuwa tunaenda kumuamulia pale anapokabwa, cha ajabu sasa jamaa alikuwa anampenda demu vibaya sana
  3. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania Formula 1® Grand Prix special thread

    One of Max's and the sport's greatest ever drives
  4. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania Formula 1® Grand Prix special thread

    Max wins Sao Paulo GP[emoji122][emoji122]
  5. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024

    Tunaendelea tulipoishia... All the best[emoji617][emoji617]
  6. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania Sioni wa kuitoa Simba nafasi ya pili kwenye ligi kuu NBC

    Hawa simba na azam kwa pamoja walipigwa jumla ya magoli ma 5 na Yanga hapo juzi kati tu kweny ngao ya jamii. Itoshe kusema Yanga bingwa tena kwa mara nyingine
  7. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania Nimehamia Yanga Rasmi

    We ni shabiki maandazi
  8. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Unaumwa wewe
  9. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Pamoja na kuwa tupo nyuma kwa bao 1, lakini naona bado tutazinyanyasa sana timu msimu huu
  10. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Manara anazingua
  11. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

    Azam wanasakwa vibaya, ni suala la muda tu watawekwa goli
  12. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania Kupeleka kombe Mlima Kilimanjaro ni kutekeleza masharti ya waganga

    Sasa tuelewe lipi ndugu zangu wa simba? Tatizo ni Mangungu hafai? Wachezaji ni wazee? Timu inahujumiwa? GSM anatembeza bahasha? Au ni uchawi kileleni mwa mlima kilimanjaro?
  13. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania Yanga amkeni, Mchuzi wa Mbwa hunywewa ukiwa bado Wamoto

    Tff wanajaribu kuchelewesha ili wabalance ugawaji wa tuzo
  14. mzee wa bwaksi

    JamiiForums Tanzania Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    Nilikuonya mapema sana mwasiiiiibu...... kiko wapi sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom