Recent content by Mzee sana

  1. M

    Ruto rais wa Kenya anafanya sawa kabisa, anajua amejifunza!

    Wameshamget! Wamget Mara ngapi mkuu?hapo subiria kigoma
  2. M

    Economic Freedom Fighters Tanzania

    Yaani mnapinga Hadi ubaguzi kwa mashoger?
  3. M

    Ruto rais wa Kenya anafanya sawa kabisa, anajua amejifunza!

    Wa hivi huwa hawamalizi awamu zao
  4. M

    Usipende kwenda kwenye nyumba za watu asubuhi asubuhi

    Wengine wanakuwa wametoka kwa mganga jana yake na wanakuwa wamepewa maelekezo haya; "Mtu yeyote atakayekuwa wa Kwanza kufika nyumbani kwako asubuhi...ndiye 1. Ameroga biashara zako zote. 2. Ameroga ufukuzwe kazi. 3. Amefunga wanao wasioe/wasiolewe. 4. Ameroga mkeo akafa 5. Ameroga nguvu zako za...
  5. M

    Maisha haya, nimeambiwa nichimbe mashimo 200 kwa Tsh. 5,000

    Wapi mkuu?tustuane Kama vipi..Mimi hata wakisema mashimo 300 kw hiyo pesa Niko tayari.
  6. M

    Kuwa makini na Apps za Mikopo

    Kilichonifanya nisiwalipe Ni sms Kama hizo,eti kisa nilipitiliza siku 1 tu!!
  7. M

    Kuwa makini na Apps za Mikopo

    Mikwara tu hiyo,Mimi walishanipigia,wakatuma sms Kama hizo Hadi wakachoka.Mwishowe tukachokana tukapotezeana.
  8. M

    Kuwa makini na Apps za Mikopo

    Chakura?[emoji15]
  9. M

    Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

    Siku moja tu mkuu Tena ndani ya dakika chache mno
  10. M

    TANZIA Michael Ngaleku Shirima mmiliki wa Precision Air afariki dunia

    Mwanangu una tatizo lolote na wagogo?Dako lyako.
Back
Top Bottom