Hapa ndipo napo muheshimu mutikila,hana ubabaishaji wa hovyo hovyo
kama wanasiasa wengine,yeye kama mtanzania ni haki yake kumshitaki yeyote
anae iba mali za serikali.
Dr.Slaha hana chembe ya ukweli.
We nae ulisha ambukizwa tabia za kishabiki shabiki.
Jibu hoja,kwanini hukupeleka unao waita mafisadi mahakamani?
Mbona umeweza kufukuza watu chamani na kumuweka mtu wako
ulishindwa nini kuiga mfano wa Mtikila?
tumechoka na uongo wa wanasiasa (najua utasema "tumechoka" namuwakilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.