Recent content by MZEE MOTO

  1. MZEE MOTO

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida shingo ya mtoto wa miezi minne kuwa haijakaza?

    Ulitumia tiba gani asee
  2. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mbona wazungu/wachina/wajapan hawana visogo/vichogo kama waafrika/wamarekani weusi?

    Wanazo chogo ila wenzetu Zinastiriwa na nywele Zao
  3. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kuomba talaka wakati mjamzito imekaaje

    Bro hawa viumbe wanahitaji uwe makini na utumie akili ya ziada. Mana Kuna jamaa kitaa aliombws talaka na mkewe ambae alikua mjamzito. Kumbe kilicho mfanya aombe talaka ni kwamba mimba si ya mumewe na ameomba talaka kuikimbia aibu asee. Mwisho wa siku mke akatoroka na ishu ikajulikana
  4. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada nimfanyeje niko njia panda

    What goes around comes around. Pole sana bro. Muombee kwa mungu bro, mana laana zako bado zinamtafuna
  5. MZEE MOTO

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mie ni mgeni katika jukwaa hili. Naomba mnifahamishe jinsi ya kushusha series za kikorea, website etc
  6. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa mabibi wa Urusi wanaotutongoza gmail ni wa kweli?

    Kweli kabisa, ni matapeli wa kutupwa, mwisho wa siku alitaka nimtumie nauli ili aje TZ
  7. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wowote kati ya aina ya muziki mtu aupendao na mapenzi?

    Lakini sio kwa taarab
  8. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wowote kati ya aina ya muziki mtu aupendao na mapenzi?

    Naweza kusikitisha, yana ukweli kiasi kikubwa sana. Na mioyo ya watu hawa inatawaliwa na hisia kali sana za mapenz
  9. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

    Umeongea point mno
  10. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

    Unadai mnaheshimiana na maza, heshima ipo wap
  11. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

    Hii ndio shida ya kuoa familia zisiomjua mungu
  12. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

    Really bro. Hii nimewahi kuona asee
  13. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

    Wazazi wa kike si wa kuwaamini kwa mabint zao. Hilo ni jambo la kawaida sana na nalo fahamu kabisa
  14. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

    Bila shaka unakulaga biriani na ameshazoea
  15. MZEE MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

    What goes around comes around
Back
Top Bottom