kuna baadhi ya miji hapa tz mtu unaona fahari kuzaliwa huko.musoma ni mji wa kifahari yaani mtu haoni taabu kusema mm ni wa musoma aiseee hii ya leo ni historia. Watu wanadeki brbara!!!!!!
unapajua musoma? Manake inaonekana umekodishwa na uknunuliwa hicho kisimu cha mchina ndo unasumbua watu subiri mb zikate. Mwambieni jk avunje baraza la mawaziri aone moto wake wapo mawaziri kibao wanasubiri goma liishe watorokee kwa kipenzi cha watanzania.lowasaaaaaaa
Siasa ni timing na muda wowote mambo yanabadirika huwezi ukaja na video za lema akimpinga lowasa huko nyuma ukitarajia hayo ya nyuma kubadili kinachoendelea kwa sasa.siasa ni current issue baba.jiwe walilokataa waashi...utamalizia.
wadanganyeni wajinga huyo mama ndo anapunguza kura za masolex.angalia hiyo kahama yako then ucheki mziki wa musoma watu wanapiga barabara deki....kudadadeki
pumzi imekata, mabango hayasaidii kitu chema chajiuza kibaya kinajitangaza kila kona.mwaka 2010 chadema na upinzania hawakuwa na picha za mabango barabarani na waliikimbiza ccm mbaya mbovu sembuse mwaka huu ambapo mabango yamekaa kwenye angle maalum? Nakumbuka siku bango la lowasa linawekwa pale...
Mfalme sifa yake kuu ni busara na hekima ya kutosha.uongozi unaanza kwenye ngazi ya familia.sasa kama mke wako haonekani kutokana na ubabe wa jamaa itawezekanaje kuliongoza taifa ambalo linapakana na nchi zenye bifu na tz? Ubabe na ukurupukaji wa masolex umemwangusha na hakuwa na mandalizi ya...
Matajiri wote wako kwa lowasa sio yule anaetisha watu wenye viwanda.Mi nadhani huyu magufuli anaweza aingize nchi vitani kwa kupenda kukurupuka na kufanya maamuzi ya kibabe.Mengi na team yake ya TPSF wako kwa lowasa na hiyo karatasi inasema amekanush THAT MEANS BADO YUKO KWA lOWASA,.....IT IS...
Usiogope mkuu...yaani this time atakaeiangusha ccm ni wingi wa kura kwa Lowasa alafu pia mzee Lubuva yuko makini and mind you ni shemeji yake Lowasa.Mke wa Lowasa ni mdogo wake
Spensa Lameck anajitahidi sio kam yule wa awali asiraji mvungi.Anachotakiwa ni kuweka graphics vizuri picha ziwe nzuri na sauti ya mheshimiwa raisi itoke vizuri.Aongeze mbwebwe tumemkubari
chochote unachokiona kinarushwa na star tv ni ccm oriented.Achana ncho kabisa utapata maambukizi bure nibora ukutane na ebola ila sio kufungulia star tv.Kuna maisha baada ya uchaguzi na star tv kumbukeni mmiliki wa vodacom ndo huyo mnemtukana akiondoa matangazo yake sijui mtaishije.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.