Recent content by MZEE JAY

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi mkuu: Siri nzito ya Flora Mbasha yafichuka (Part -1)

    Ndoa ya Mtu ina uhusiano gani na Uchaguzi au naye alitia nia ya Uraisi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    kUHUSU mapambano dhidi ya Ufisadi na Rushwa inabidi Jeshi la Polisi la Muungano lifumuliwe sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Asiliamia kwa Wafanyakazi Bajeti ya Serikali

    Duh ngumu kumeza hiyo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Idara ya Usalama wa Taifa ipewe Mamlaka zaidi ili kuinusuru Nchi

    Mimi naona ili kuimarisha TISS ni Bora ikaunganishwa na Millitary interigence na PCCB vikawa vitengo vinavyosimamiwa na Head Mmoja
  5. M

    JamiiForums Tanzania PCCB Iliharibu Yenyewe Kesi ya Idd Mohamed Simba

    Bwana Masanjagama hapo unatudanganya kama upo ushahidi wa Hosea kuchukua fedha tunaomba taarifa hizo uzitolee ushahidi kwa Katibu Mkuu kiongozi Ikulu kwani ndiye mwajiri wa Hosea
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rasimu Mpya ya Katiba: Kazi za TAKUKURU sasa kufanywa na Jeshi la Polisi?!!

    Hii inakuwa kama ni Mchezo wa kuigiza maana aliye propose kuanzashwa kwa PCB ilikuwa ni tume ya WARIOBA aliyependekeza Katiba ni yeye na kuisahau TAKUKURU ni tume iliyoongozwa na WARIOBA.Sijua kama viongozi wa Serikali ya Shirikisho watachunguzwa na chombo kipi kama suala la Rushwa halijawekewa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya

    Nimeipitia katiba mpya na kuona ni nzuri lakini kwanini suala la mapambano dhidi ya rushwa lisiingizwe katika Muungano Naomba ufafanuzi nipa mwanga na mimi
Back
Top Bottom