Recent content by Mzee Baruti

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Hakutakuwa na katiba mpya 2028. Hata tukiipata, haitaruhusu kuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hakutakuwa na kura ya maoni kuwauliza wananchi: Mnautaka muungano? Kwahiyo confederation ni bora kuliko muungano huu tulio nao sasa. Confederation ni shirikisho la nchi huru ambalo serikali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Form a confederation badala ya kuvunja Muungano

    Bado kuna mawazo ya Nyerere na ya Kambona kuhusu Muungano miongoni mwa viongozi wengi na watu wengine pamoja na securocrats. Nyerere mpaka mwisho wa maisha yake hakutaka kabisa kuvunja Muungano. Kambona, mara tu baada ya muungano kuundwa, alisema Wazanzibari hawataruhusiwa kuvunja muungano...
  3. M

    JamiiForums Tanzania COL.MAHFUDHI: Zanzibari and Tanzanian internationalist

    "kuna kipindi kimoja kilikuwa kinaendeshwa na mmarekani mmoja mweusi kilionyeshwa jamaa alikwenda nchini Kenya sehemu za coastal region na alifanya mahojiano flani na jamaa wa swahili na walijinasibu kuwa wao sio waafrika walijinasibu kuwa wao ni wairani." Alikuwa ni Professor Henry Louis Gates...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar - Mafunzo kutoka kitabu "Pan-Africanism or Pragmatism?" cha Prof. Issa Shivji https://www.youtube.com/watch?v=AcK2xEIZJN8
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kutoka The Partner-ship cha Mzee Jumbe

    Mafunzo kutoka The Partner-ship cha Mzee Jumbe https://youtu.be/r9ZQGyVcuW4
  6. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kukithiri kwa wahamiaji haramu Tanzania hasa kutoka Malawi

    Enzi ya Mwalimu Nyerere na viongozi wenzake kama kina Nkrumah na Sekou Toure, tulikuwa tunasema na tunakumbushwa umuhimu wa umoja wetu kama Waafrika. Tanganyika tulifundishwa na kukumbushwa na Mwalimu: "Afrika ni moja. Binadamu wote ni ndugu zangu." Usemi huo uko katika katiba ya TANU kama...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kukithiri kwa wahamiaji haramu Tanzania hasa kutoka Malawi

    Wanyasa wengi walikuwa wanaingia Tanganyika, baadaye Tanzania, kwa miaka mingi sana. Enzi ya ukoloni, walikuwa wanaingia kwa urahisi, wanavuka mpaka tu, kwa mguu, halafu wanapanda basi au magari mengine kwenda sehemu mbalimbali za Tanganyika. Wengi walikulia Tanganyika, na waliishi kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jaji mstaafu Julie Manning afariki Dunia

    Ingawa baba yake, William Manning, hakulipwa mshahara aliostahili kulipwa kwa sababu ya ubaguzi wa wakoloni, alifanya kazi yake ya udaktari hospitali ya Kyela kwa uadilifu na kutimiza wajibu wake bila kuwapuuza wagonjwa wake. Madaktari wengine wa Kiafrika nchini Tanganyika waliobaguliwa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jaji mstaafu Julie Manning afariki Dunia

    Kuhusu Julie Manning kutoka kitabu cha Godfrey Mwakikagile, Reflections on Race Relations: A Personal Odyssey: “People of mixed race, known as half-castes in East Africa, also found themselves in a predicament for which they were not responsible and became victims simply because of what they...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jaji mstaafu Julie Manning afariki Dunia

    Julie alikuwa na dada ambaye jina lake ni Catherine; kaka Tom na ndugu wengine, sijui wangapi. Alikuwa na kaka mwingine. Sijui jina lake. Walitoka Kyela ambako baba yao William Manning alikuwa medical assistant hospitali mjini Kyela. Babu yao aliwahi kuwa governor wa Nyasaland. Alizaa mtoto...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Hatimaye Malawi yakubali kuwa ziwa ni la nchi zote 3

    Siyo kweli: AI Overview Malawi's government denied a viral fake press release in mid-2025 claiming it agreed to share Lake Malawi (LakeNyasa) equally with Tanzania, a decades-old dispute fueled by colonial treaties and resource interests (oil/gas). While the countries engaged in...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea wapi kama taifa?

    Mama ana mengi ya kusema kuhusu nchi yetu na viongozi wa serikali hii. Msikilize hapa chini: https://youtu.be/z7VCFPIZqJk
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni ushauri wangu tu !

    https://www.youtube.com/watch?v=z7VCFPIZqJk
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Considers ICC Exit as Court Faces Accusations of Unfair Targeting of Africa and Western Bias

    By Oumar Diallo Tanzania may soon consider leaving the Rome Statute of the International Criminal Court (ICC). This debate has grown stronger after recent calls on the court in The Hague from Lawyers for the victims, backed by groups like the World Jurists Association and the Madrid Bar...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Salim Ahmed Salim na uchaguzi

    SALIM SALIM SOUNDS OFF ON ELECTIONS, POLITICAL MACHINATIONS, PROSPECTS FORVIOLENCE IN ZANZIBAR Date:2005 May 17, 13:28 (Tuesday) Original Classification: CONFIDENTIAL Classified by Charge d'Affaires Michael S. Owen United States Embassy, Dar es Salaam, Tanzania In a wide-ranging two-hour...
Back
Top Bottom