Recent content by mzee akilimali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Zambi na Mulugo kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM (mtu mmoja, cheo kimoja) wafichuka

    Mmemuacha mary mwanjelwa wote hao kundi moja wanajifanya wao ndio wanasiasa ndani ya mbeya watambue muda wa siasa zao umeisha yeyote kati yao akija gombea nafasi yeyote hasa ubunge 2020 hawezi kupata MARRY MWANJELWA wakati wa uchaguzi wa 2015 hakumsaidia mgombea wa ccm ili mgombea huyo ashindwe...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Kibonde wa Clouds FM ni hatari kwa redio hiyo

    Gwajima kibao kinamludia safari hii mwisho wake umefika kiongozi wa dini kawa mwanasiasa ni kupoteza direction
  3. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Makonda ni kichwa sana nchi hii itamkumbuka sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mafuriko ya Mbeya "Sugu" Mkutanoni Leo hii

    Nguo nyekundu zote watoto wa shule
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mafuriko ya Mbeya "Sugu" Mkutanoni Leo hii

    Huyo sugu mumuongelee huko huko dar huku hatumtaki kabisa pale walijaa watoto kisa kulikuwa na gari la mziki wanapiga mziki wa diamond TUMEMCHOKA
  6. M

    JamiiForums Tanzania Michael Joseph Mbuza, ajitokeza kuwania Ubunge wa Mbeya Mjini

    huyu sugu sisi hatumtaki hata kidogo hakuna alichokifanya ila vijana mwaka huu ni wenu kipi ni kipi hilo ni juu yenu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Michael Joseph Mbuza, ajitokeza kuwania Ubunge wa Mbeya Mjini

    kama ni kijana sisi tutamsuport
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano Wa ACT-Wazalendo, Shinyanga (Tarehe 19 Aprili, 2015 )

    mnajipa moyo chadema kama mbeya ndio hamtakiwi hata robo na li sugu lenu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi: Kikwete studio ulioitangazia dunia kuwapa wasanii iko wapi? Umemkabidhi nani?

    Sugu haendi kokote kule msela yule hata wanaomsifia wanasifia ujinga tu subirini mwezi wa kumi tena tahadhari yake asije ingiza hata mia uchaguzi ujao atajutia hata mia yake ameshindwa kujiheahimu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi: Kikwete studio ulioitangazia dunia kuwapa wasanii iko wapi? Umemkabidhi nani?

    Vijana kama wakati wenu umefika harafu mnachagua viongozi wa namna hii mjue kabisa uwezo wa kuongoza nchi hii ni mgumu,mtaludisha kwa wazee nchi hii wakati mmeisha aminiwa huyu joseph mbilinyi ni bora hata chadema wakambadilisha wamlete mtu mwingine nje ya hapo jimbo linachukuliwa na ccm mapema
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Sports Extra ya Clouds FM na ukosefu wa uzalendo

    Mi mwenyewe nimewasikia wale jamaa kama muda fulani huwa hawaelewi nini cha kuongea nini ambacho inatakiwa wasiongee wanajifanya wanawajua warabu wako wapi zamalek,raja casablanca,asante kotoko hivyo hata yanga inaweza kuwa timu tishio siku za mbeleni ila wao wanaibeza wabadilike
  12. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mzee Said Arfi kufukuzwa CHADEMA?.

    chadema ni chama kilichokufa bado kuzikwa wanajiona maarufu kupitia jf harafu wengi wana account nyingi wanaludia kucoment harafu wanajipa moyo kwamba wanapendwa zitto.ndio kiboko yako hawana jipya
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

    Ni bora kungekuwa na msaadizi ila huwa kuna vijana tunawakuta ambao kama una hekima zako huwezi kukaa na ukajaribu kusema chochote hata lugha ambayo wanaitumia sio lugha nzuri kungekuwa na msaadizi mzuri mbona angekuwa ametusaidia sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

    Sugu mbeya hatakiwi ni bora jimbo likarudi ccm kama hawa chadema wataendelea na huyo joseph mbilinyi kwanza sisi wazee anatudharau kabisa huwa tukienda ofisini kwake hayupo muda mwingi harafu akitukuta anajua tumeenda kuomba pesa kwake sio kila mtu akienda ofisini kwake anakuwa anataka hela...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

    Vijana mi naona tuache kusifia kitu kisichosifika naona muda tuliompa sugu unatosha apumzike tunampenda ila tumempa nafasi kubwa sana ambayo haiwezi hata kidogo kuendelea kumsifia ni kuendelea kukumbatia kutokuwa na maendeleo hapa nyumbani tufunge huu mjadala kwamba tunamshukulu hadi hapo tulipo...
Back
Top Bottom