Recent content by mzaza

  1. mzaza

    JamiiForums Tanzania Moyo wangu unauma sana

    Million nne ni parefu aisehhh, ukipata mganga mzuri waroge tu na unipenyezee jina la huyo mganga..na mimi kuna watu wananichezea..
  2. mzaza

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wanaachiwaje jela? Na wakitoka wanaendaje uraiani?

    Moderator amekupatia nauli au kakuachia tu...
  3. mzaza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hisia za kimapenzi zimepotea na dharaulika sana na wanawake mpaka nakosa raha

    Nguvu za kiume huna na una mademu watatu.. Tukikushauri vizuri si utatembea na wake zetu...
  4. mzaza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana mwenye jinsia mbili

    Bado changamoto ipo tu sema Mungu amasaidie. alikuwa anaitwa musa anakojoa amesimama na sasa ataitwa mwanahamisi na vyeti vyake itakuwaje.. Vipi kwenda kuwasalimia wazazi wake... Ataenda kwa jinsia ya zaman alivyozoeleka au mpya... Nadhani hatakuwa huru bado.. BINAFSI NASHAURI AJITANGEZE AKIWA...
  5. mzaza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchawi pesa, nimemla siku hiyo hiyo kwa kiwango cha 115k

    Kwani malaya huwa hana mama yake..
  6. mzaza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume unaweza kutenga siku kadhaa za likizo ukazitumia ukweni?

    Nimecheka,, ni kama namuona jamaa anapigwa mkwara na mama mkwe vile..
  7. mzaza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume unaweza kutenga siku kadhaa za likizo ukazitumia ukweni?

    Nimependa hiyo ya kumaliza kuku wa mama mkwe .
  8. mzaza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume unaweza kutenga siku kadhaa za likizo ukazitumia ukweni?

    Thnx
  9. mzaza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume unaweza kutenga siku kadhaa za likizo ukazitumia ukweni?

    Ahsante
  10. mzaza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume unaweza kutenga siku kadhaa za likizo ukazitumia ukweni?

    Habari zenu wanajamvi, Ni miaka 8 sasa tangu nioane na mke wangu na tuna watoto watatu. Kwa ufupi tunaishi kwa amani sana. Tumejiwekea utaratibu kila mwisho wa mwaka huwa nachukua likizo na tunaenda na familia kijijini kwetu. Mwaka huu amenikazia amesema inabidi twende nyumban kwao katika...
  11. mzaza

    JamiiForums Tanzania Dawa ya nywele zilizokazwa sana ni nini?

    chukua Pole my dear, tumia lidocaine spray, zinapaticana kwenye pharmacy
  12. mzaza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu (binti) amenidharau na kunitukana mbele ya mke wangu

    Unahitaji kujitafakari 1. Haijalishi mke anakuzidi kipato, tumia sauti yako ya kukoroma uliyopewa na Mungu. 2.Na kama umenielewa, mtimue huyo binti kesho na siyo jumatatu. Angalau wanaume tutaanzaa kukuelewa. 3.Mwambie mkeo asitishe hiyo safari ya baba mkwe. Atajua mwenyewe atamwambiaje...
  13. mzaza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikasa/vituko vya lodge

    Story yake ingeonekana ina maana kama angekubaliana na alichoambiwa na maza na akatuonesha kubadilika..
  14. mzaza

    JamiiForums Tanzania Msaada: Asili yangu inanishangaza

    Pole sana, hilo ni tatizo kabisaaa. Self isolation ni dalili mbaya ambayo inauhusiano na ugonjwa wa SONONA ambao mara nyingine unaweza kukuletea kujiua au mawazo yake(suicidal ideation).. Hata katika mazingira ya kawaida ukiona ndugu anaanza kujitenga tenga jua kifo chake kinakaribia..
  15. mzaza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kubambikiwa mimba miaka hii siyo kabisa, huyu binti nahisi ananicheza

    Daktari hana msaada wowote kwa huyu mwamba, Majibu ya awali yanaonesha mimba ni changa.. Ni maneno yanayotia walakini kuona dalili siku ya nne.. Kupigwa na kutopigwa na kitu kizito kwake ni fifty fifty.. Aendelee kulea mimba kwa miezi yote tisa ikiwa ni adhabu ya kutotumia kondom na mwisho...
Back
Top Bottom