Recent content by MzaramoTz

  1. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Code wapi mkuu...?
  2. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Vipi ina action au romance tu...? Vincenzo Jr
  3. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: UTT-AMIS

    Dah nilitaka nitupie 100m itakuaje sasa...?
  4. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna biashara inaweza kuza milioni 1.5 kwa miezi miwili kufika 4 milioni? Nishauri

    Ni kweli kabisa kwenye vurugu ndio kuna pesa kiongozi. Walikukuta na gunia ngapi na ukawapoza kiasi kukuachia na mzigo walikurudishia au ilikuaje...?
  5. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna biashara inaweza kuza milioni 1.5 kwa miezi miwili kufika 4 milioni? Nishauri

    Oooh okay nice, huwa nachukuaga gunia mbili tatu kutokaana na uwezo wa gari (Cruiser Hard Top) nikifika hapa mtaani wanachukua kwa elfu 60 wakati ninapochukua ni elfu 25 tu. Sasa ningepata mtu mwenye kibali nikachukua mzigo Mkubwa ingekuwa njema sana. Ninapochukua ni karibu na Kabuku na magunia...
  6. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna biashara inaweza kuza milioni 1.5 kwa miezi miwili kufika 4 milioni? Nishauri

    Wewe haukuwa na kibali kwani au walikuzingua kwa style gani...? Na kwa nini ukaacha kuifanya mkuu...?
  7. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna biashara inaweza kuza milioni 1.5 kwa miezi miwili kufika 4 milioni? Nishauri

    Hiyo 3m inajumuisha nini na nini kiongozi...?
  8. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna biashara inaweza kuza milioni 1.5 kwa miezi miwili kufika 4 milioni? Nishauri

    Sasa kama ushalipia udhuru na vibali umepata maliasili wanazinguaje mkuu...?
  9. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna biashara inaweza kuza milioni 1.5 kwa miezi miwili kufika 4 milioni? Nishauri

    Kwani kila gunia linalipiwa kiasi gani au unatakiwa kulipa kila unapokutana na check point...? Najua kama una kibali inawezekana kuvusha au upate gari ya mtu anakusanya gunia za watu tofauti anawaletea kwa pamoja then mnampoza yeye. Tupe ABC kidogo kiongozi...! Shukran.
  10. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna biashara inaweza kuza milioni 1.5 kwa miezi miwili kufika 4 milioni? Nishauri

    Ulikuwa unafanyia wapi kiongozi na operation ilikuaje kwa upande wako...?
  11. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna biashara inaweza kuza milioni 1.5 kwa miezi miwili kufika 4 milioni? Nishauri

    Natamani sana nifanye hii biashara tatizo sijapata mtu wa kuaminika mwenye kibali na gari inayoweza kusafirisha mkaa kuja Arusha kiongozi. Any comment kwa hilo nitashkuru sana.
  12. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Simba yasaini mkataba wa Tsh. bilioni 20 na Betway kama Mdhamini Mkuu kwa miaka 3

    Tabu ipo palepale...!
  13. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Hivi dume Zima unakaaje kwenye nyumba ya kupanga hata chumba kimoja kimekushinda

    Kijambio kinakuwasha nini...?
  14. MzaramoTz

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Ina maana anapofariki akiwepo chumbani muda wote kunatakiwa kuwe na mtu/watu kwenye chumba alipohifadhiwa maiti...?
Back
Top Bottom