Recent content by Mzambuli911

  1. Mzambuli911

    Kwa nini technology inayotumika kutuma signals za Channeli za TV isitumike kusambaza intaneti?

    kali linux inux mkuu always nimekua nikifikiria hivo hivo ila nikaona labda its my self nipo nasubir jibu
  2. Mzambuli911

    Wataalam wa maswala ya hosting pamoja na cpanel, mysql njooni hapa

    Hii software ya WYSIWYG naweza kuitumia 100% lakini shida nikuvipublish hizo files katika host husika yaani hazionekan kabisa kama ninavyo taka
  3. Mzambuli911

    Wataalam wa maswala ya hosting pamoja na cpanel, mysql njooni hapa

    Nime publish direct kutoka kwenye WYSIWYG kwa ftp ila nimeihost kwa 000webhosting Nazani kunashida kwenye cpanel ya filemanager
  4. Mzambuli911

    Wataalam wa maswala ya hosting pamoja na cpanel, mysql njooni hapa

    Wakuu naomba msaada wenu Nime design website kwakutumia WYSIWYG website development kisha nikaipublish kwa kutumia FTP katika 000webhosting service ili iweze kupatikana mtandaon lakini baada ya upload kuwa successful kila nikitype link ya hiyo site yangu napata blank page sioni kama nilivyo...
  5. Mzambuli911

    Nawezaje kutuma sms moja kwa watu wengi (bulk sms) software?

    Hello wakuu hakuna software ya kutumia mfano watu 1000 message kwa wakati mmoja kama IPO ya free itapendeza sana kama ilivyo manychat kwa fb messenger
  6. Mzambuli911

    Kipi kitatokea kama facebook Ads wananidai?

    Mimi nadaiwa $25 niliwahi kuboost mpaka Leo naona sikawalipa naona hero hiyo $25 niboost kwa page nyingine tu
  7. Mzambuli911

    Wakuu msaada account yangu ya adsense imepigwa limit

    Mkuu nafanyaje sasa ili yarudi
  8. Mzambuli911

    Ni kwa nini Azam Tv Max haikubali kuplay kwenye Bluestacks?

    Hiyo bluestacks unayo tumia ni emulator yaani INA kuwezesha kurun Android au iPhone kwenye computer yako
  9. Mzambuli911

    Wakuu msaada account yangu ya adsense imepigwa limit

    Habari wanajF, Mkuu nimepigwa ad limit kwenye AdSense account yangu yenye Website ambayo ipo hosted na blogger msaada wenu tafadhali namna ya kufix hii ishu ya matangazo. Nahitaji matangazo yaendelee kudisplay. Asante
  10. Mzambuli911

    Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

    Hello wakuu Mm nimehitimu kidato cha sita mwakahuu kwa combination ya PCB Matokeo yangu yamenikata maini kwakwel NINA DDE physics ndio imeniungusha kabisa Sasa kiukweli hapa nilipo nipo njia panda Napenda kusoma kozi za afya ila kutokana na ufaulu wangu ww kama mzoefu unaweza ukanishauri niwapi...
Back
Top Bottom